Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
- Thread starter
- #21
Huyom ndio Kimaro , anataka aaminiwe kuwa yeye ni mpambanaji , huku akisema uongo kuwa viongozi wa TLP wamejiuzulu wao wenyewe wanasema ni muongo , sasa wapambanaji wetu hawa , je? ni feki?