zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Yani sijui michepuko itakuja kuisha lini. Hata wanaochepuka wananishangaza sababu za wao kufanya hivyo.
Kibaya zaidi Unachepuka na mwanamke ambaye hata mke wako anamzidi kiwango mbali Sana. Hata yeye akimuona anaweza kujiuliza mara mbili mbili "Ni Yeye"kweli yule.
Yani ni bora hata uchepuka halafu mchepuko awe chombo kweli hata watu wakimlinganisha na wako waseme ni heri uchepuke.
Sasa unachepuke na mchepuko wenyewe low quality hauna kiwango unamuacha mke wako wife material nyumbani.