Wanao penda kujifunza electronics designing

jana nmedownload proteus ila ni ngumu sana kuitumia, plz kama unaweza nsaidia kunielekeza kuitumia, msaada naomba
 
Transistor na wadau wengne mi pia nna skills kubwa sana ya hzo electronics naweza kudesign na kuimplement vitu kibao km kutengeneza printed boards na circuits mbalimbali km uko interested unaweza nichek
 
Transistor na wadau wengne mi pia nna skills kubwa sana ya hzo electronics naweza kudesign na kuimplement vitu kibao km kutengeneza printed boards na circuits mbalimbali km uko interested unaweza nichek
taja namba ya simu
 
Nichek hapa 0717 36 40 36 km una whatsapp ntakutumia sample ya kazi
 
Ahsante sana mkuu,....tutaku pm
 
wicalumtata tazama kama vfd inapokea umeme kutoka kwenye micro controller;kawaida si chini ya volt tano na si zaidi ya volt 12.kama umeme unafika halafu bado haiwaki,jaribu kutafuta datasheet ya vfd yako.labda kuna sehemu unakosea!

Naweza kupata JTAG cable?
Najua nayo hii nimesikia kuna watu wana assemble wenyewe
 
Habari mkuu mm naitaji kujua zaidi kudizain japo naunda BUSTA mixer crossover nk so naomba msaada wa hiyo software unayoitumia
 
Mimi nahitaji fluke multmeter
 
hivi kwann ngozi nyeusi wana roho mbaya sana unajua bora na wale wanaochinja watu kuliko anaekusimanga had unakufa ...mbna wenzetu wanafanya research na wanatoa njia ya kufanya ..mfano wahindi wengi wametusaidia hacks kadhaa za cm youtube ni mb zako tu ila sisi daaaa
 
Dhumuni lako la kuandika haya ilikua ni nini??
 

wahindi wanaroho nzuri kuliko waafrika ?
 
Hv alie anzisha huu Uzi bado yupo humu Jf...Nahitaji contact zake nimependa uzi wake nataka kujifunza Electronics...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…