Firewall
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 272
- 61
Tumia Proteus.
Noted..
Tumia Proteus.
Transistor na wadau wengne mi pia nna skills kubwa sana ya hzo electronics naweza kudesign na kuimplement vitu kibao km kutengeneza printed boards na circuits mbalimbali km uko interested unaweza nichek
taja namba ya simu
wicalumtata tazama kama vfd inapokea umeme kutoka kwenye micro controller;kawaida si chini ya volt tano na si zaidi ya volt 12.kama umeme unafika halafu bado haiwaki,jaribu kutafuta datasheet ya vfd yako.labda kuna sehemu unakosea!
Mimi nahitaji fluke multmeterHongera sana mimi nilisoma electronic engineering diploma toka ICS- uk baadae nilibadili muelekeo nikasoma degrees za Business na Entrepreneurship, wakati huo niliweza kudesign vitu kadhaa, Bado nina vifaa vingi vya hy field mfano Oscilloscopes ndg 1 na kubwa 1, vitabu vingi sn toka Uk mfano Electronic Dictionary 2, Electronic Circuits Encyclopedia, Electronic Handbooks, Mike Tooley Handbooks, na kadhalika yeyote aliye na interest naweza KUUZA. Pia pitia hapa upate material Electronic Devices and Circuits PPT - Engineering PPT
Sorry kuchelewa Fluke Multmeter SINA lakini ni rahisi kuiagiza toka nje wasiliana mdau wa humuMimi nahitaji fluke multmeter
Dhumuni lako la kuandika haya ilikua ni nini??hivi kwann ngozi nyeusi wana roho mbaya sana unajua bora na wale wanaochinja watu kuliko anaekusimanga had unakufa ...mbna wenzetu wanafanya research na wanatoa njia ya kufanya ..mfano wahindi wengi wametusaidia hacks kadhaa za cm youtube ni mb zako tu ila sisi daaaa
kwan ww dhumuni la kuuliza ni niniDhumuni lako la kuandika haya ilikua ni nini??
hivi kwann ngozi nyeusi wana roho mbaya sana unajua bora na wale wanaochinja watu kuliko anaekusimanga had unakufa ...mbna wenzetu wanafanya research na wanatoa njia ya kufanya ..mfano wahindi wengi wametusaidia hacks kadhaa za cm youtube ni mb zako tu ila sisi daaaa