Wanao penda kujifunza electronics designing

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,639
Habari wana-jamvi
Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing;wale walio choka ku-copy na ku-paste already made design;na hivyo wangependa wao wenyewe wabuni vya kwao.

Ikumbukwe kuwa vifaa vya ki-electronic vinavyotumika kutengeneza vyombo ya ki-electronic kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes etc.vinaweza vikaunda kitu chochote unacho kitaka Kutegemeana na maamuzi yako,mfano unaweza kutumia vifaa hivyo kuunda TV,Radio,King'amuzi,Simu,Computer,.n.k.

Mfano computer imetengenezwa na vifaa hivyo hivyo,na Radio imetengenezwa na vifaa hivyo hivyo.Tofauti inakuja namna ambavyo vimeunganishwa kutegemeana na lengo la muundaji mwenyewe.

Ifahamike kuwa Hakuna tofauti kati ya vifaa vinavyotumika kuunda vyombo vya kidigitali au vile vya kianalogia.Vifaa kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes etc ndio msingi mkuu wa vyombo vyote vya kielectronic(digital and Analogy).Kinacho fanyika hapo is just a game of mathematical and functions exchange kutegemeana na matumizi husika.

Jua kwamba nirahisi sana kuwa fundi wa ku-repair vifaa vya kielectronic ila ni vigumu kwa wewe kuwa mbunifu wa vifaa vya kielectronic kama hujui misingi ya ufanyaji kazi wa vifaa mama vya kielectronic kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodesetc.
Kamwe haiwezekani ukaamka asubuhi na kuanza ku-design project kubwa kama vile kuunda TV,King'amuzi, au computer kama hukuwahi kuanza katika project ndogo.

Umeme unasheria na kanuni zake ni lazima uzifahamu na kuzizingatia katika maisha yako yote katika dunia ya kielectronic.

NANI ANAWEZA KUWA MBUNIFU WA VIFAA VYA KIELECTRONICS

1.Mtu yeyote,kitu cha msingi ajue nguzo kuu za hesabu kama vile kujumlisha,kutoa,kugawanya,kuzidisha n.k

2.Awe mbunifu ajenge mawazo tofauti tofauti juu ya vitu tofauti tofauti na atafute ufumbuzi kupitia taaluma yake ya kielectronics.

3.Asiwe anakata tama mapema.

4.Ubunifu wa vifaa vya umeme ni tofauti na ubunifu kama vile computer programming kwasababu when a mistake has done is PUUUUUUUUUUU!Within a second,electricity never wait to react!Hivyo basi mbunifu lazima azingatie sheria za umeme kwa usalama wake na usalama wa vifaa vyake,ili kuepuka hasara zisizo za msingi.

5.Apende electronics.

FAIDA GANI ZA KUWA MBUNIFU WA KIELECTRONICS.

1.Kujipatia ajira.Unaweza uka-design kitu ambacho jamii ikawa inakihitaji sana na ikawezekana kifaa hicho hata dukani hakuna,au kama kipo ni ghali kuliko cha kwako,hivyo utapata soko lisilo na mshindani

2.Kuunda vitu vyako mwenyewe kwa matumizi yako mwenyewe.Kama vile security systems,operating systems mbalimbali n.k.Mfano mimi kwangu nimefunga vifaa mbalimbali ambavyo nime-design mwenyewe,kiasi kwamba kama ningekuwa naingia dukani kununua it was a lot of Dollars!Forexample music system yangu nayo tumia it is about 1500 wattage,ambayo ningeingia dukani ingeni cost a lot,pia nimefunga Security systems za kila aina,because it is too cheap if you DIY!

3.Kujiongezea taaluma na maalifa zaidi.

MAFUNZO YA KIELECTONIC KWA NJIA YA MTANDAO

Nimekuwa nikitoa mafunzo kwa njia ya face to face.Ila kuna watu wengi wanapenda kujifunza ila wapo mbali na Dar au wanakosa muda wa kuingia darasani.Hivyo nimefikiria kuanzisha mafunzo ya kielectronic kwa njia ya mtandao ili niweze kumfikia kila mmoja.Kile nilicho nacho na wengine wapate.

Mafunzo nitakayo kuwa nafundisha ni ya ubunifu(Electronics designing) tu!Sita fundisha ufundi wa ku-repair kitu chochote ila nitafundisha elimu yak u-design kitu chochote!

Lengo langu ni kuibua vipaji vya wabunifu wa vifaa vya kielectronic na sio wale wanao fanya marekebisho ya vile vilivyo tengenezwa na mzungu vikaharibika.

Japo ni vigumu kufikia kiwango cha juu cha ubunifu wa vifaa vikubwa kutokana na sababu mbalimbali.Ila lengo ni kufanya vile vinavyo wezekana kubuniwa na sisi wenyewe katika mazingira yetu vifanyike.

Lengo langu jingine ni kuunda jamii ya wabunifu na sio warekebishaji tu!Ambapo kwa pamoja tunaweza tukabadilishana mawazo na kuunda vitu mbalimbali.

Mafuzo yangu nitayatoa kwa lugha ya Kiswahili kadri inavyo wezekana,ingawaje kuna baadhi ya misamiati itatolewa kwa lugha ya kiingereza kutokana na ukosefu wa misamiati ya namna hiyo katika lugha yetu ya Kiswahili.

Mafunzo yatagawanyika katika makundi matatu ambayo ni;-

a)Wasio na msingi wa umeme na electronic kabisa
b)Walio na msingi wa umeme na electronic katika kiwango cha kati
c)Walio na msingi thabiti wa umeme na electronic
Kwa wanao taka kujifunza electronic na hawajui wapo kundi gani kati ya hayo waisome sakiti hii hapa chini halafu waniambie ni sakiti ya nini na inafanyaje kazi vilevile wakitambue kila kifaa ndani ya sakiti hii mimi ntajua anakiwango kipi kutokana na majibu yake

jjco.jpg

-Kila atakayetaka kujifuza lazima anunue vifaa vifuatavyo

1:Multmeter
hh.jpg

2; Soldiering Beat
images.jpg

3;Soldering wire
bn.jpg

4:Unprited circuit board

jj.jpg

5:Kila mwanafunzi atatakiwa awe na software maalumu ya kujaribia michoro ya designing zake za kielectronics kabla ya kuziunda katika circuit board.Software hii itakusaidia kutambua makosa madogo madogo kabla hujaiunda sakiti yako katika dunia halisi.(nitatoa link ya kudownload software hii)

Kwa wale ambao wako tayari kuingia katika dunia hii nawakaribisha tuma jina lako na namba yako ya simu kwenye email efuatayo datetz18@yahoo.com.

Mafunzo yataendeshwa kupitia website maalumu ntakayo itambulisha baadae kwa watakao tuma majina ambapo mwanafunzi atakuwa na uwezo wa ku-log-in au ku-log out kwa kutumia user name na password.

Mafunzo yata base katika ubunifu wa vifaa vya analogia na kidigitali;wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya electronics mnakaribishwa!

Haitakuwa public itakuwa for only members!
Members watatakiwa kulipia fee kidogo ili mwalimu atumie muda wake pamoja nao!

Karibu!
 
Aisee hii shughuli naipenda sana...na nilishajifunza kidogo hzi mambo tatizo ni muda ulinibana..ila kudisgn mimi bado..ila ukinipa mchoro na vifaa nasuka vizuri tu...
 
Nashukuru kumpata mtanzania kama wewe ambae tunaweza kuelekezana vitu kama hivi. Na mm ninadesign vitu mbalimbali vya electronics kama amplifier na speaker boxes
 
Nipo tayari kujifunza tatizo litakuwa ghalama tu kama ungekuwa muwazi zaidi juu ya gharama za kulipia kwa hao memba ingekuwa powa zaidi kaka..
 
Habari wana-jamvi
Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing;wale walio choka ku-copy na ku-paste already made design;na hivyo wangependa wao wenyewe wabuni vya kwao.

Ikumbukwe kuwa vifaa vya ki-electronic vinavyotumika kutengeneza vyombo ya ki-electronic kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes etc.vinaweza vikaunda kitu chochote unacho kitaka Kutegemeana na maamuzi yako,mfano unaweza kutumia vifaa hivyo kuunda TV,Radio,King’amuzi,Simu,Computer,.n.k.

Mfano computer imetengenezwa na vifaa hivyo hivyo,na Radio imetengenezwa na vifaa hivyo hivyo.Tofauti inakuja namna ambavyo vimeunganishwa kutegemeana na lengo la muundaji mwenyewe.

Ifahamike kuwa Hakuna tofauti kati ya vifaa vinavyotumika kuunda vyombo vya kidigitali au vile vya kianalogia.Vifaa kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes etc ndio msingi mkuu wa vyombo vyote vya kielectronic(digital and Analogy).Kinacho fanyika hapo is just a game of mathematical and functions exchange kutegemeana na matumizi husika.

Jua kwamba nirahisi sana kuwa fundi wa ku-repair vifaa vya kielectronic ila ni vigumu kwa wewe kuwa mbunifu wa vifaa vya kielectronic kama hujui misingi ya ufanyaji kazi wa vifaa mama vya kielectronic kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodesetc.
Kamwe haiwezekani ukaamka asubuhi na kuanza ku-design project kubwa kama vile kuunda TV,King’amuzi, au computer kama hukuwahi kuanza katika project ndogo.

Umeme unasheria na kanuni zake ni lazima uzifahamu na kuzizingatia katika maisha yako yote katika dunia ya kielectronic.

NANI ANAWEZA KUWA MBUNIFU WA VIFAA VYA KIELECTRONICS

1.Mtu yeyote,kitu cha msingi ajue nguzo kuu za hesabu kama vile kujumlisha,kutoa,kugawanya,kuzidisha n.k

2.Awe mbunifu ajenge mawazo tofauti tofauti juu ya vitu tofauti tofauti na atafute ufumbuzi kupitia taaluma yake ya kielectronics.

3.Asiwe anakata tama mapema.

4.Ubunifu wa vifaa vya umeme ni tofauti na ubunifu kama vile computer programming kwasababu when a mistake has done is PUUUUUUUUUUU!Within a second,electricity never wait to react!Hivyo basi mbunifu lazima azingatie sheria za umeme kwa usalama wake na usalama wa vifaa vyake,ili kuepuka hasara zisizo za msingi.

5.Apende electronics.

FAIDA GANI ZA KUWA MBUNIFU WA KIELECTRONICS.

1.Kujipatia ajira.Unaweza uka-design kitu ambacho jamii ikawa inakihitaji sana na ikawezekana kifaa hicho hata dukani hakuna,au kama kipo ni ghali kuliko cha kwako,hivyo utapata soko lisilo na mshindani

2.Kuunda vitu vyako mwenyewe kwa matumizi yako mwenyewe.Kama vile security systems,operating systems mbalimbali n.k.Mfano mimi kwangu nimefunga vifaa mbalimbali ambavyo nime-design mwenyewe,kiasi kwamba kama ningekuwa naingia dukani kununua it was a lot of Dollars!Forexample music system yangu nayo tumia it is about 1500 wattage,ambayo ningeingia dukani ingeni cost a lot,pia nimefunga Security systems za kila aina,because it is too cheap if you DIY!

3.Kujiongezea taaluma na maalifa zaidi.

MAFUNZO YA KIELECTONIC KWA NJIA YA MTANDAO

Nimekuwa nikitoa mafunzo kwa njia ya face to face.Ila kuna watu wengi wanapenda kujifunza ila wapo mbali na Dar au wanakosa muda wa kuingia darasani.Hivyo nimefikiria kuanzisha mafunzo ya kielectronic kwa njia ya mtandao ili niweze kumfikia kila mmoja.Kile nilicho nacho na wengine wapate.

Mafunzo nitakayo kuwa nafundisha ni ya ubunifu(Electronics designing) tu!Sita fundisha ufundi wa ku-repair kitu chochote ila nitafundisha elimu yak u-design kitu chochote!

Lengo langu ni kuibua vipaji vya wabunifu wa vifaa vya kielectronic na sio wale wanao fanya marekebisho ya vile vilivyo tengenezwa na mzungu vikaharibika.

Japo ni vigumu kufikia kiwango cha juu cha ubunifu wa vifaa vikubwa kutokana na sababu mbalimbali.Ila lengo ni kufanya vile vinavyo wezekana kubuniwa na sisi wenyewe katika mazingira yetu vifanyike.

Lengo langu jingine ni kuunda jamii ya wabunifu na sio warekebishaji tu!Ambapo kwa pamoja tunaweza tukabadilishana mawazo na kuunda vitu mbalimbali.

Mafuzo yangu nitayatoa kwa lugha ya Kiswahili kadri inavyo wezekana,ingawaje kuna baadhi ya misamiati itatolewa kwa lugha ya kiingereza kutokana na ukosefu wa misamiati ya namna hiyo katika lugha yetu ya Kiswahili.

Mafunzo yatagawanyika katika makundi matatu ambayo ni;-

a)Wasio na msingi wa umeme na electronic kabisa
b)Walio na msingi wa umeme na electronic katika kiwango cha kati
c)Walio na msingi thabiti wa umeme na electronic
Kwa wanao taka kujifunza electronic na hawajui wapo kundi gani kati ya hayo waisome sakiti hii hapa chini halafu waniambie ni sakiti ya nini na inafanyaje kazi vilevile wakitambue kila kifaa ndani ya sakiti hii mimi ntajua anakiwango kipi kutokana na majibu yake

View attachment 141489

-Kila atakayetaka kujifuza lazima anunue vifaa vifuatavyo

1:Multmeter
View attachment 141490

2; Soldiering Beat
View attachment 141492

3;Soldering wire
View attachment 141493

4:Unprited circuit board

View attachment 141494

5:Kila mwanafunzi atatakiwa awe na software maalumu ya kujaribia michoro ya designing zake za kielectronics kabla ya kuziunda katika circuit board.Software hii itakusaidia kutambua makosa madogo madogo kabla hujaiunda sakiti yako katika dunia halisi.(nitatoa link ya kudownload software hii)

Kwa wale ambao wako tayari kuingia katika dunia hii nawakaribisha tuma jina lako na namba yako ya simu kwenye email efuatayo datetz18@yahoo.com.

Mafunzo yataendeshwa kupitia website maalumu ntakayo itambulisha baadae kwa watakao tuma majina ambapo mwanafunzi atakuwa na uwezo wa ku-log-in au ku-log out kwa kutumia user name na password.

Mafunzo yata base katika ubunifu wa vifaa vya analogia na kidigitali;wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya electronics mnakaribishwa!

Haitakuwa public itakuwa for only members!
Members watatakiwa kulipia fee kidogo ili mwalimu atumie muda wake pamoja nao!

Karibu!

Hongera sana mimi nilisoma electronic engineering diploma toka ICS- uk baadae nilibadili muelekeo nikasoma degrees za Business na Entrepreneurship, wakati huo niliweza kudesign vitu kadhaa, Bado nina vifaa vingi vya hy field mfano Oscilloscopes ndg 1 na kubwa 1, vitabu vingi sn toka Uk mfano Electronic Dictionary 2, Electronic Circuits Encyclopedia, Electronic Handbooks, Mike Tooley Handbooks, na kadhalika yeyote aliye na interest naweza KUUZA. Pia pitia hapa upate material Electronic Devices and Circuits PPT - Engineering PPT
 
Tuko pamoja, lakini ingekuwa vizuri kama ungeweka gharama za masomo pia gharama za vifaa ili kama mtu yupo interested aweze kujipanga
 
yah! ni huduma nzur tungepata gharama zake tokea kwa wa basic mpaka advanced kwa ajili ya kujipanga!
 
mkuu, leo kutwa nzima nlikuwa namalizia kuunda musik system yangu, ambayo nmedesign kama home thietre lakin tatizo limenipata wkt naunganisha micro controller na vfd screen, nkaona haiwak screen
 
Hongera sana mimi nilisoma electronic engineering diploma toka ICS- uk baadae nilibadili muelekeo nikasoma degrees za Business na Entrepreneurship, wakati huo niliweza kudesign vitu kadhaa, Bado nina vifaa vingi vya hy field mfano Oscilloscopes ndg 1 na kubwa 1, vitabu vingi sn toka Uk mfano Electronic Dictionary 2, Electronic Circuits Encyclopedia, Electronic Handbooks, Mike Tooley Handbooks, na kadhalika yeyote aliye na interest naweza KUUZA. Pia pitia hapa upate material Electronic Devices and Circuits PPT - Engineering PPT

MKUU vipi tunaweza Fanya biashara ya oscilloscope
unaweza ni flash hapa 0717 228064
 
Jamani nisaidieni mkongo wa taifa umefika wapi? Na je umesha anza kufanya kazi na kazi yake nini?
 
mkuu, leo kutwa nzima nlikuwa namalizia kuunda musik system yangu, ambayo nmedesign kama home thietre lakin tatizo limenipata wkt naunganisha micro controller na vfd screen, nkaona haiwak screen

Kwa vyovyote ungekuwa na softaware ya kutest mchoro wako na ku-Compile mapema unsingepata hilo tatizo.
 
wicalumtata tazama kama vfd inapokea umeme kutoka kwenye micro controller;kawaida si chini ya volt tano na si zaidi ya volt 12.kama umeme unafika halafu bado haiwaki,jaribu kutafuta datasheet ya vfd yako.labda kuna sehemu unakosea!
 
vfd datasheet natumia IC PT6315 with 44pin, na vfd yenyewe ni ya 32bit, kwaiyo ntajaribu leo tena@transistor
 
natumia iyo ya kwanza hapo, lakin kumbe katika vfd, volts hazikutosha inahitaj volts 5
 
Back
Top Bottom