bill Shnky
Member
- Dec 12, 2017
- 65
- 37
Kabisa mkuu kwaio njitose au viporiginally hyo mwaga mpunga braza
Poa mkuu nimekupataHiyo ni yenyewe s5 hiyo wala usiwaze labda iwe na tatizo lingine
Hiyo ni yenyewe s5 hiyo wala usiwaze labda iwe na tatizo lingine
Poa mkuu nimekupata
Ilo Famba mkuu achana nalo...originally hyo mwaga mpunga braza
Mim dada kiaje jamaaIlo Famba mkuu achana nalo...
Kwanza linaonekana limepigwa sana lock
Yaonekana sio maalumu kwa Afrika Mashariki sasa wameliunlock kua makini achana nalo
Iyo yaonekana ilikua inatumika America sasa wameifyatua isome frequency za nyumbani Tanganyika
Kua makini dada angu. Hilo ni Famba. Ukitaka samsung og ...nenda dukani nunua zenye 2 yrs warranty smart cared
Samahani nilijua we ni wa kikeMim dada kiaje jamaa
Kua makn na majina yako mkuuSamahani nilijua we ni wa kike
Ok sista oops sorry braza..anyway usichukue ilo famba ni fakeKua makn na majina yako mkuu
Umetazama kitu kipi?Ok sista oops sorry braza..anyway usichukue ilo famba ni fake
Nilivoishika tu nikajua hili famba...Umetazama kitu kipi?
Asante.Nilivoishika tu nikajua hili famba...
Pia hayo ma Apps ya AT&T inaonekana fika ni famba lilikua locked for North America o something
Apana nimegairi aseeeHapo matakon kwenye tundu ya chaji kama sipaelewi,anyway kama umeipenda mwaga fweza
Apana nimegair dingiAsante.
[emoji2] [emoji2]Apana nimegair dingi