Wananiuliza DEVIL ni Nani

Devil anaishi wapi?
Amesema Lusifer ni jina la Malaika Kiongozi kabla hajamwasi Bosi wake.
Devil ni jina lilitokana na sifa ya inayowakilisha uovu Evil baada ya kuasi.
Satan ni jina alilolipata Lusifer baada ya Kuasi.
Ndio maana leo kuna Satanic Church na Lusiferan Church lakini kahuka Devil Church.
Kwakuwa hata Satan au Licifer hataki kujitangaza kuwa ni mwovu.
Ni mwema ktk waumini wake.
 
Washirikina wote wameuza Roho zao kwa Satan Lusifer ambaye ndiye Devil yaani mkuu wa uovu wa asili.
Unapoingia katika ulimwengu wa Satan Lusifer ili uwe mshirikina kwa kupata faida, unaarufu, kujinda, utafiti nk.
Ni lazima upate ruhusa ya Satan mwenyewe.
Na ni lazima muandikishane mkataba wa kupatana ili usaidiwe hitaji lako.
Mkataba huo unaenda na kuiweka roho yako juu ya mamlaka yake ili iende anavyo taka yeye na mwisho wa siku ukifa iwe mali yake.
Yaani ni kumpa Lusifer mamlaka ta kukumiliki ukiwa na mwili na hata ukifa roho yako iwe mali yake.
 

Lusifer hakuwahi kuwa malaika kwakuwa chini ya universal law of nature lucifer asili yake ni negative energy na malaika ni asili yao positive energy malaika hawana uwezo wa kuqsi kwani hawana tamaa. Ni uongo wa dini na mafundisho ya kuaminisha watu lucifer alikuwa malaika. Soma nimeandika mada ya historia ya lucifer kwanza ule ni ukoo. Lucifer ni jamii ya viumbe wengi sio mmoja.
 
Umepotea kweli kweli kibaya zaidi unapotosha na wengine . Hayo mambo sio simple kihivyo
 
Ko ukimuota ndiyo kwamba amekutembelea au?!
 
Ko wale %33 waliomuunga mkono ni malaika au ni viumbe kutoka ukoo wake?!
 
Ko wale %33 waliomuunga mkono ni malaika au ni viumbe kutoka ukoo wake?!

Spiritual realm ilikuwa inaongozwa na 24 yahwean ambao 12 ni positive na 12 ni negative ili kuweka usawa ambao hawa yahweh baadhi ya watu wanaona ni mungu au jina la mungu. Walioasi ni katika ukoo wao pamoja na jamii nyingine kama Rizqiyans pamoja na asilimia kubwa ya Cherubeem.
 
True kabisa umenena hata madikteta wote hawana nafsi wao ni kuunganisho cha duniani na kuzimu. Makahaba, vibaka, wauaji hawa wote hawana nafsi thus ufanya matendo maovu, wakiwa kama spraying agents
 
Hakika mkila matunda ya mti huu mtakufa , mti unaozungumza ni mti wa ujuzi wa kuona mambo yasiyoonekana. Yaani mlango wa sita wa fahamu ulifungwa baada ya kula mti wa ujuzi.
Mtu anazamisha chupa ukeni mtu hana mshipa wa aibu mtu anaporomosha matusi sio yeye bali ni devil's ndani yake.
 
Kuyaelewa haya mfano mfalme zumarid anatamka wazi nguvu iliyondani mwake ndio utenda kazi. Nguvu iliyo ndani mwake ni roho ya yezeebul
 
Chupa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…