Wananiuliza DEVIL ni Nani

Hakuna kona hapo mada imenyooka ivi.......... sema tu! watu wengine ni wagumu sana kujua jambo!! akiambiwa Yesu anakuja mawinguni bado atauliza yuko wapi.......
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
DUNIA INA TISHA SANA. Ni bora mungu ametufumba macho tusione vilivyo tuzunguka na tunavyo ishi navyo. IGNORANCE IS BLISS
Sikusoma huko juu nimesoma tu hapa chini..., Mimi mpenda logic nikaona niulize.., Huyo Mungu ametufumba macho tusione vilivyotuzunguka ila akakufumbua wewe macho ?, Au wewe umejuaje haya
 
Lucifer, nyota ya asubuhi alikuwa ni malaika na muimbaji mzuri kupita wote. Alikuwa ni kiongozi wa malaika wote.

Devil, ni jina alilopata kama sifa ya uovu alioutenda, evil.

Satan ni mbadala wa devil, alilipata baada ya kuondoshwa au kufukuzwa peponi. Hili jina ni kama alibatizwa kutokana na uasi, alioutenda kwa kupoteza utukufu mbele ya uso wa Bwana.


Satan
 

Devil anaishi wapi?
 
Ondoashaka mkuu. Ila njoo ukiwa umejiandaa vizuri kiakili 2 uwe na nia ya dhati.3 ondoa hofu kabisa. 4 ukiwa muoga mimi sitahusika kwamadhara...uje ukiwa pekeyako....usije kunichunguza ukajifanya mpelelezi. Karibu sana rafiki.
Nashukuru mkuu. Ngoja nijiandae ntakutafuta.
 
Japo wapo wachache wanao ona hayo mambo
 
Fanyeni na vitendo sio kuongea tu...kuna watu wanaishia kisoma tu. Afu anaanza kubisha wakati hajawai kuona haya mambo..acheni masiara kabisa kama huamini mtafute mtu anaejua kisha utajionea live. Kisha urudi hapa baada ya kuona
 
Devil = Muovu
Shetani = Mpingaji
 
Ni hili Niko pamoja nawe....πŸ‘ŠπŸ½
 
Mada nzuri ila ni kutokuelewa content ya mada
 
mada na ulichokielezea haviendani, upo shallow sana chief ktk mambo haya!!
 
Uko Sahihi Satan,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…