Wananiuliza DEVIL ni Nani

Fame and success does not come easly as you think. Umaarufu una mengi.

najua na sipingi ila sio nadharia unazotoa hapa!


nyi ndo wale mtu akifanikiwa mnaanza kumuhusisha na freemason! wakati hakuna hata mtu anaeijua hyo freemason na namna wanavooperate!

kwahyo usidanganye watu hapa! watu wengi na wasanii hao huko nchi za wenzetu washastuka wanaishi kwa kufata laws of nature wanazitumia in positive impact, wanatafuta madini na wanafanya mapaka meditation nk ili tu wafanikiwe, ila nyie hapa mnadanganyana sijui wanauza roho na bla bla za kipumbavu! si ajabu watanzania wengi hatuendelei!

kwanza hata huyo devil/satan/lucifer sio shetani kama shetani! ni akili za watu tu zimeamua ku mbrand hvo ila shetani ni wewe mwenyew na mungu ni wewe mwenyew unaamuavtu ushike upande upi!

mtu huwezi kuuza roho ila unaweza kuingia katika maagano tu na other beings, and still hayo maagano mtu anaweza kuyavunja as long as he is spiritually capable! na kumbuka nnaposema spiritual capable hakuna dini inaingia hapo! maana dizi hzi hazina spirituality!
 

Ni kweli dini hazina spirituality hapo nakuunga mkono. Kwa upande mwingine nisinge poteza muda kuandika mada hii kama sijapitia hayo. Tunaposema mtu ameuza roho (sell his/ her soul) sio swala la mzaha wala freemasoni mtu anaweza kuyqfanya hayo bila kuwa freemasom hata wewe kamq huamini amka usiku washa mshumaa mwekundu alafu wekq kqniki nyeusi unuie unataka kumuona devil ndo utajua sitanii. Kama hujui maana ya kuuza roho ni kwamba wewe unaiacha roho yako na kuingia Mkataba na spiritual world au ulimwengu wa roho kwa lengo la kupata unacho kitaka iwe umaarufu au utajiri au power ya kutawala chochote katika hii dunia. Viumbe wa kiroho hawana mwili na wanatamani kupata hisia kama wanadamu wanqvyopata hisia mfano za kukewa au kufanya mapenzi nk hivyo kuna njia maalumu za kufanya ili wewe uwe portal au mlango wa kuwafanya viumbe hao wapate hisia za kibinadamu. Freemasoni ni wakala tuu.
 
Sasa mtu kama Haji Manara tumuite nani ikiwa aliitumikia Simba wakati ni mnafiki, mlagjai, muongo, msaliti, na pengine ana mambo ya hajabu atendayo usiku ila hatujuwi tu. Pia anapenda sana dini, si unajuwa wapenda dini walivyo, mchana kweupe anajifanya mswalihina ili watu wasimuhisi vibaya lakini usiku anaruka na wenzake kwenda kufinya majirani na watu waliolala.
 
Kwa hiyo jamaa kapambana sana na Mo mida ya usiku.
 

kwanza majini mapepo sio spiritual beings, ni lower mental beings!

watu kuuza roho sijui wewe unaelewaje, japo hata katika msingi huo ni wachache sana! na nadhani tunatumia neno "kuuza" kwasababu kiswahili hakijitoshelezi kimsamiati pia zingatia kua soul na spirit kwa kiswahili vyote vinaitwa roho, japo vyote ni tofauti kabisa!

sasa hao wanaouza roho yafaa utuelezee wanauza nn!? spirit au soul!? na tuelezee utofauti hapa kwa kina!

kuhusu huo ujinga wa kuweka mshumaa mwekyndu nshaujaribu mara 2 na hakikutokea kitu, mpaka njia panda nshaenda lakini holaaa kwahyo usitufix kiivo!

bado mpaka saivi una konakona nyingi mkuu! labda utuwekeee elimu in detail kuhusu devil satan na lucifer huenda nkajifunza kipya! maana knowledge ni pana sana!

mwisho kabisa ni kua umedanganya tena! freemason sio wakala wa huu ujinga, it is a secret society! na ukiichunguza freemason unakuta it is a secret society in a secret society! na kwasababu ya hiyo level of secrecy ndo uzushi kama huu wa shetani ni wakala wa freemason umetaradadi! kuna vikundi vinatumia jina la freemason katika shughuli zao baadhi wakiongozwa na esoteric beings, ndo hao unaambiwa kafara la kuua kiumbe maana hao beings wanapata astral energy hapo!
 

Siyo secret society watu kibao wanajua siri zao ni mawakala tuu. Hakuna kitu kinaitwa lower mental being labda wewe ni aprentice.
 

Mada kama hii ni maalumu kwa watu wenye matatizo. Hii inawasaidia kujua chanzo cha matatizo yao. Acha utani wewe unamjua huyo mtu in person au unafanya mzaha.
 
Ni vyema mkuu na wewe ukatupa elimu na maarifa uliyonayo ili tusiyojua tupate kujifunza pia na kuwa aware. Fungua uzi nasi tutasoma.
 
Watu sijui wapoje vibishi. Na apo umempa njia ya kumuona lakini atabisha
 
Watu sijui wapoje vibishi. Na apo umempa njia ya kumuona lakini atabisha

nabisha kwakua nimejaribu na muda huu tena nliposoma comment yako nmejarbu! au nkanunue hvyo vitu vingne vipya!?

vipi wewe umejaribu!? ndo maana nasema huu ni uongo! hebu muulize mwenye uzi kama amewahi kujaribu yeye mwenyewe! au ameleta nadharia tu!


oyaa jaribuni mlete mirejesho hapa huu ufala hatuutaki hapa! watu kutuchezea akili zetu!
 
Siyo secret society watu kibao wanajua siri zao ni mawakala tuu. Hakuna kitu kinaitwa lower mental being labda wewe ni aprentice.

am not apprentice am a spiritual seeker! i have been researching these secret societies and what we here is far mostly a divergence from what they really are!

unasema shetani!? unaweza kuthibitisha uwepo wa shetani!? hebu thibitisha kua yupo usilete porojo hapa!

sikatai kua freemason they receive help from other spiritual beings ila kusema shetani itabidi umuelezee! hakuna shetani wala hakuna mungu! stuka ndotoni! all these Allah jehovah and blah blah afe just esoteric beings in 5D dimension na wewe na huu upuuuzi tunaoujadili tuko kwenye 3D dimension! ila u dont really need help from them, why because u are capable of anything, you are a living God and devil at the same time you just choose what should manifest within you!

watu wengi wana matatizo ya kiroho kwasababu hawajijui kabisa kiroho na dini pamoja na watu kama nyinyi mnautumia huo udhaifu wao ku wa manipulate tu! imagine if they get to know the concealeda truth! watu kama ninyi mtakua wapuuzi tu na hamtapata mtu wa kumjaza fix!

sijui umesoma kitabu gani huko mpaka umekurupuka kuanzisha uzi!


na atleast ungeweza vielezea vyote ila mpaka sasa unaleta blah blah za uzi kufutwa teh teh damn! andika kuhusu core issue za kiserikali uzi utafutwa ila kuhusu haya mambo!? no one gives a damn shit! we unawadanganya watu kua utarudi ili wabaki kukusikilizia na kutafakari hyo insufficient piece of information ambayo kwanza hata si ya kweli!


kama unataka kufundisha watu siku nyingine andika uzi kamili!

sina nia ya kufundisha mtu ila pia sina ajizi nnapoona mtu anapotosha!
 
Siyo secret society watu kibao wanajua siri zao ni mawakala tuu. Hakuna kitu kinaitwa lower mental being labda wewe ni aprentice.

ndugu if u feel u know it all about secret societies then you know fucking nothing! perhaps as long as you are alive utakuja kuligundua hilo halafu nadhani mjadala na wewe tuishie hapa!

you dont have qualities/sufficient knowledge to speak about such stuff with me! you are just an aprentice and arrogant at all!

if i was your teacher i'd have said you are among my "much know" students although deep down you know nothing! dont be entrapped on a tip of knowledge! sip from the fountain of knowldege and keep sipping you'll eventually find it! By the way all the knowledge is withini you! you just need to find it in you
 

Mada imekugusa bro.. unajua fika you have sold it. Na huwezi irudisha. Mimi sina knowledge but nina experience. Maswala ya knowledge lazima uwe initiate but mimi siyo initiate. I am a freeman. Not like you.
 

For your information uliposema kuhusu mambo ya lower mental plane nilijua wazi wewe ni just a follower. Hayo mafundisho ni ya theosophical society kama ulikuwa hujui. Ni kwa ajili watu level ya chini. Mwanzilishi wa hayo mambo ya lower plain unayozungumzia ni annie besant na helena blavastky hao wote wapo chini ya lucifer publinging co. Ulisoma nadharia ya Isis Unveiled ukajua basi na wewe unajua mambo.
 

hahaaaa interesting! mbona hata ukisoma buddhism utayakuta? okay! naona hujanijibu hoja zangu nyingi huko juu ila kwakua umeamua ku-speculate tuishie hapo!

keep sipping from the fountain of knowledge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…