tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa dawa za Virusi vya Ukimwi (VVU) zipo na zinatolewa bure nchini.
Soma pia: Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu
Soma pia: Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu