Mapanzi ndani ya ndoa yamejaa taka taka nyingi mno. Mnapokuwa wapenzi wa nje kila mmoja anajitahidi kuonesha kwa mwenzie ile sura ya kimaadili inayokubalika. Mwanamke anajitoa fully na mwanaume anajitoa fuly. Lakini mkishaingia katika ndoa aaaaa ndo yanaanza makorokoro kibao. Interrest ambazo mwanzoni hamkuambiana kuwa mnazo, ndo zinaanza kuwa muhimu, tena kama miaka mitano hivi down the road.
Mapenzi yanaanza kuwa kero, kwani yale makorokoro ambayo mwenzio hawezi kuyasema wazi wazi ndo yanaanza kuwa na nguvu! Wengi wangejua ni heri kutojiingiza katika ndoa kabisa, muendelee na mapenzi ya nje tu. Kwa sababu wakati mkiwa na mapenzi ya nje hayo makorokoro hayaji.
Kuna wanawake hupenda at least nguvu fulani itumike, isipotumika hajisikii stimu. Kuna wanaume nao hupenda atumie nguvu fulani, akiachiwa tu, basi stimu yake inaisha. Tatizo ni kuwa haya hayajitokezi wakati wa mapenzi ya nje, yanajitokeza kwenye ndoa!!!