VIBAYA MNO!
Ugomvi wa ndoa, unaweza kuanzia hata katika chakula, Tv, au kuchokana, kubishana na kukoseana adabu!
mmh sizani labda uniambie mtu unaenda kutafuta mawazo kwamba ukabiliane vp na hilo tatizo lakini sio kwamba itasaidia kulimalizaLakini ndio procedures zilizopo na hufuatwa na wanandoa kila uchao.
Maana mnaweza kupata new experience labda tatizo lenu wengine walipitia kama hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
nakwambia acha tu, yani badala ya kuondoa tatizo ndo utaongeza na mengineMie nabakigi na yangu, tena ukienda shtaki kwa ndugu wa mume ndo utajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah...ostaz alikuja jicho limemuiva amemaindi balaa. Watu wamekubuhudah !!!!!!!!!!!dunia imesisha mkuu...siku hizi mambo ya giza na kuombana tigo imekuwa too much...siyo kwa wanawake wala wanaume ......kweli dunia inaenda kasi mnooooooooooooooo
KweliNdoa zinamambo ni kwavile tu kuolewa/kuoa kunaleta heshima flani kwa muhusika....unless otherwise haolewi mtu hapaa nikudonoa mwanzo mwishoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha mkuu hii serious?Kuna ndoa ilivunjika kwa sababu ya kugombania mhindi wa kuchoma tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah...tumeona wengi tummh sizani labda uniambie mtu unaenda kutafuta mawazo kwamba ukabiliane vp na hilo tatizo lakini sio kwamba itasaidia kulimaliza
kabisa...only 2 of them... wa 3 shetani.....Mambo ya wana ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe. Wao wakishindwa hakuna mwingine atakaeweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama ndugu yangu...unajuaje?Sawa ostadhi maana uwezi kuwa naurafiki naostadhi mpaka kufikia kukuambia habari hizo kama nawewe sio ostadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepiga bonge la point ndugu mjumbemambo mengi tunayodaiana kwenye ndoa ni very personal na kwa akili ya kawaida mtu wa nje akijua anaweza kutuona wote hatuna akili lakini kimsingi wenyewe tunayaona ya maana kwelikweli. tuacheni na ndoa zetu
Tena inatokea bonge la noma alafu issue yenyewe ndogo tu[emoji23][emoji23]