mambo mengi tunayodaiana kwenye ndoa ni very personal na kwa akili ya kawaida mtu wa nje akijua anaweza kutuona wote hatuna akili lakini kimsingi wenyewe tunayaona ya maana kwelikweli. tuacheni na ndoa zetuHabari za asubuhi wakuu.
Kwa matukio ya migogoro niliyoshuhudia na mingine kuambiwa ni wazi kuwa wanandoa huwa hawasemi ukweli wa vyanzo vya migogoro yao au ugomvi wao.
Ndio maana suluhu inayotolewa na waalikwa katika kutengeneza mahali walipoharibu wanandoa hutolewa lakini huwa haisaidii wala kuimarisha ndoa. Baada ya mda flani utaona wanandoa wameachana. Na hapo ndio sababu za ukweli hutolewa ikiwa ataulizwa mmoja wa wanandoa.
Mfano: kuna ostaz wiki mbili zilizopita alienda kusuluhisha ugomvi kigamboni. Rafiki yake alimualika baada ya ugomvi kuzuka kwake, akadai mwanamke hamuheshimu na salamu hampi pia dharau 100 kidogo.
Huyu ostaz ambae ndie aliowafungisha ndoa akaenda kuwasuluhisha...sasa kila akimuuliza mke, shida nini bibie mbona magomvi tena. Yule mke anasema mmewe yeye ndio anamkorofisha kwa kutoacha matumizi ya kutosha na pia anamhisi ana michepuko ndo maana hamjali labda. Kiujumla madai yake yalikuwa kama ni kuhisia tu maana jamaa alipoulizwa akasema sio kweli na kama mke ana ushahidi aseme.
Ostaz akasuluhisha fresh wakala na kuku akaondoka.
Maaaweeeeee....wikiendi hii si ostaz amemuona binti (mke wa jamaa) eti wameachana na mmewe.
Akauliza nini sasa cha mno? Mke akajibu "ujue shem mi nilikuwa namstiri tu jamaa yako lakini alikuwa ananilazimisha kuniingilia kinyume na maumbile"
"Ndio maana ulipoondoka tu akaanza kusema si ostaz amesema tuishi vizuri usininyime nachotaka, mi nikasema nitaondoka"
Binti akamuonesha na ushahidi wa sauti ostaz kumbe alikuwaga anamrekodi bana na sms za jamaa pia ambazo bado anamtumia kumlaumu eti "kisa kukuomba ndogo tu ndio unaamua kuacha ndoa hivi una akili kweli wewe?? Nenda kwanza mpo wengi"
Ostaz akachoka na akasema kuanzia leo mambo ya kusuluhisha staki...
Aliponielezea mimi nikamwambia mkuu hiyo case mi naskia kwa mara ya 5, kwamba wanandoa wanaongopa hawasemi ukweli ndio maana suluhu hazifanyi kazi.
Married people, speak the truth to keep your *wasuluhishi* at ease.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen to that, me nasemaga kila siku hakuna wa kusuluhisha mgogoro wa ndoa, mkishindwa kuyamaliza wenyewe hakuna wa kuyamaliza ni kujidanganya tu, eti unaenda kushitaki kwao mumeo kwamba huwa anakupiga sasa unazani wao watamfunga mikono, sijui ana chepuka unazani ukishitaka ndo ataacha aghaaaaaaMambo ya wana ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe. Wao wakishindwa hakuna mwingine atakaeweza
Sent using Jamii Forums mobile app
ugomvi wa ndoa, unaweza kuanzia hata katika chakura, Tv, au kuchokana, kubishana na kukoseana adabu!
Ko hata hayo mambo madogo tu unazuka ugomvi.ugomvi wa ndoa, unaweza kuanzia hata katika chakura, Tv, au kuchokana, kubishana na kukoseana adabu!
Ndio kusema hakujawahi tokea waliopatanishwa na ugomvi ukaisha daima?Mambo ya wana ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe. Wao wakishindwa hakuna mwingine atakaeweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Uoga wa kuonwa akili hamna unawapelekea mnazivunja ndoa zenu sasa.[emoji3]mambo mengi tunayodaiana kwenye ndoa ni very personal na kwa akili ya kawaida mtu wa nje akijua anaweza kutuona wote hatuna akili lakini kimsingi wenyewe tunayaona ya maana kwelikweli. tuacheni na ndoa zetu
Mie nabakigi na yangu, tena ukienda shtaki kwa ndugu wa mume ndo utajutaAmen to that, me nasemaga kila siku hakuna wa kusuluhisha mgogoro wa ndoa, mkishindwa kuyamaliza wenyewe hakuna wa kuyamaliza ni kujidanganya tu, eti unaenda kushitaki kwao mumeo kwamba huwa anakupiga sasa unazani wao watamfunga mikono, sijui ana chepuka unazani ukishitaka ndo ataacha aghaaaaaa
Lakini ndio procedures zilizopo na hufuatwa na wanandoa kila uchao.Amen to that, me nasemaga kila siku hakuna wa kusuluhisha mgogoro wa ndoa, mkishindwa kuyamaliza wenyewe hakuna wa kuyamaliza ni kujidanganya tu, eti unaenda kushitaki kwao mumeo kwamba huwa anakupiga sasa unazani wao watamfunga mikono, sijui ana chepuka unazani ukishitaka ndo ataacha aghaaaaaa
Wanakuchangia?!!?Mie nabakigi na yangu, tena ukienda shtaki kwa ndugu wa mume ndo utajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
May be wapo. Lakini mengi yatafichwa, na ukute wamekubali kupatana kishingo upande kuwaonea aibu wapatanishaji.Ndio kusema hakujawahi tokea waliopatanishwa na ugomvi ukaisha daima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mpira wa kona hata hawaangalii kosa lenyewe. Mama mkwe atakwambia vumilia huyo ni mwanaume...woi
OkayMay be wapo. Lakini mengi yatafichwa, na ukute wamekubali kupatana kishingo upande kuwaonea aibu wapatanishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleKama mpira wa kona hata hawaangalii kosa lenyewe. Mama mkwe atakwambia vumilia huyo ni mwanaume...woi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wakuu.