Wanandoa/wapenzi

mimi siyo msomi.

Mbona mikono yako inayoshika biblia ndiyo unaitumia kushika hao wake za watu?

Sauti yako ya kumtukuza Yeye unaitumia kumuelekeza mtu lodge ili mzini.

Ulimi tu ndiyo umeuwekea limit?
 
Boss swala unaweza fanya life time? What if usipoweza
Nitashindwaje? Na nitakwama kwa lipi?

Yaani wakati huu wa miaka yote takribani 25 - 30 ya kuutumikia ujana wangu nisimfurahishe mke wangu? Kisa?

Yaani umetumia hoja ndogo sana brother.
 
Umenena kama akili zote unazo
 
Ko utanyonya Uchi miaka yote
Nitashindwaje? Na nitakwama kwa lipi?

Yaani wakati huu wa miaka yote takribani 25 - 30 ya kuutumikia ujana wangu nisimfurahishe mke wangu? Kisa?

Yaani umetumia hoja ndogo sana brother.
 

Uasili wa kitu unaupataje?
 
Daaah! Ha ha ha ha ha ha... Kidudumizi cha mapenzi sio?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…