Hizi tafiti wakati mwingine zinakera sana..Inakuwa kama kipima joto cha ITV...Yaani bila kueleza umechukuaje sample size na idada ya wahusika..ni upuuzi kueleza % tu halafu ukaanza kufanya majumuisho mepesi mepesi!
Ukweli kwamba wanandoa wanachakachua uko wazi kwani kuna ushahidi wa kutosha na usiopingika kuonesha hilo, mfano idada ya watu wenye VVU na marrital status zao!! Hata hivyo siyo vizuri kuja na % za kuokoteza mtaani katika issue nzito kama hizi!