kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!
Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!
Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa m2,akijifariji anamke
basi tambueni kama umeoa mwanamke asiye na bikra tambua unaishi na mke wa m2
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?
Kwanza nakuomba ukubali kuwa wewe ni wa hovyo kwa sababu zifuatazo
1:Hujui maana ya ndoa
2:Umesema kuwa kuolewa ni kutolewa bikra,iweje kutolewa bikra kuwe ni kuolewa kwa wakati mmoja?
3:Huyohuyo ambae unadai ni mume wa huyo aliyemtoa bikra unadai amtafute amuoe,ulishawahi kuona mume anamuoa mkewe mara mbili?
4:Unadai kuwa mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa mtu,mtu mmoja anawezaje kuolewa mara mbili?
Kwa kifupi umeandika uozo mkubwa sana na unastahili viboko vya kutosha ......!!
Ngoja tu ni assume kuwa wewe sio foolwe pimbi kweli huelewi ata kilichoandikwa<<<! i can argue wit a fool,!
Huko wapi niliko?kama ndo upo huko pole kwa kukupa ukweli
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!
Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!
Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa m2,akijifariji anamke
basi tambueni kama umeoa mwanamke asiye na bikra tambua unaishi na mke wa m2
Unahitaji maombi sio mzima wewe kuna kitu lazima kinakusumbuakama itawezekana kumpata mana ndio mme wako
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?
ahahahahahahahaha mtani kwann lakin kuntegua mbavu sa hiz!Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?