Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

Kijana samahani naomba unifahamishe, kwani huyo unayemuoa ulishawahi kukutana naye kimwili?
W amekutana nae kiroho[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukishaoa majukumu yatakukabili then automatically utajua mwenyewe kama unapiga vitano au kimoja!
 
unawaambia watu mara 4 siwatazeeka??
Ngono haizeeshi wala
Kungonoka mara kwa mara kunapunguza umri wa kuzeeka
Hivo mnashauriwa muwe mnafanya at least mara 4 kwa week

Wewe hata hivyo si ushazeeka tayr miaka 47 si masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…