Mnyalukolo Vahukaye
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 461
- 383
- Thread starter
-
- #41
Thanx mwanandoa mzoefuKama huyo mtarajiwa tiyari umesha muanza nadhani ikifika siku ya arusi huenda ukalala ukumbini kwani huna hamu naye. Lakini, kama hujawahi kumchovya, nakuambia mnaweza kulala njaa kwani hutaruhusu itoke humo. Kwani unafikiri wabunifu wa fungate walitaka nini??
Ila kama kuanzia uchumba hadi ndoa kila mkikutana ni kitandani ndio mnamalizia hiyo siku ya fungate ya nini?? Hiyo siku mmepewa tu leseni ya kuliendesha gari lako.
Wenye hamu ya kweli ni kila saa. Zamani kidogo ilikuwa ni marufuku kupiga hodi kwa wanandoa wapya. Kama ulitaka kitu kwao uliwavizia wakitoka kwenda chooni unamuwahi mmoja unamweleza haja yako haraka na kuondoka. Unawaachia faragha yao. Nimalizie hivi; Ni marufuku kulala na pichu au kusema nimechoka
We ngoja tu, time will tellMajukumu yakiongezeka utakuja kulia humu ooo anataka tufanye kila siku
Exactly:mimi na mr wangu ni muda wowote tuu
siameuliza kwa walioko kwenye ndoa??Kwani huwa unafanya mara ngapi kwa week weeapo
Dah.... Na wewe unataka kuoa? [emoji87] [emoji87]mm pia najiulizaga hilo swali
Ibada Mara tatu kw wiki ila Mara nyingine ibada ya dharua inaweza jitokeza.ni vizuri kuwa na ratiba ili maandalizi yawepo mwende sambamba ktk ibada.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi wakati wowote nimkute stoo,bafuni jikoni anakula kongoro tu...
[emoji23] [emoji23]Mi wakati wowote nimkute stoo,bafuni jikoni anakula kongoro tu...
Ukiolewa utajuaHow it will be like! Ataomba kwa kumbembeleza kama zamani nilazima nitoe mzigo au naweza kataa na Mimi naomba au ndo mwendo wa auto
Alaf umenkumbusha kuna jiran angu ilukuaga in popote yaan hata wawe shambani au njian wakiwa safarin.....alikuaga ni sheeeeedaMi wakati wowote nimkute stoo,bafuni jikoni anakula kongoro tu...
Kiasi tu mbili , ukizid sana tatu .. Epuka kuchoshana sanaKwa wiki, je migoli mingap kwa kila cku kiafya?
Aiseee! Nikiwa Mkubwa nataka kuwa kama nyiemimi na mr wangu ni muda wowote tuu
Ukiolewa utajua[/
Najua ntajua ila rejea nlisema natamani sana kujua how it goes ,,,,asnte lakini nimejua mambo ta auto