Lawyers will do anything to win a case.Nlipokua First Year Tulipewa Mtihani Kuwa Mke Aliekua Anateswa Na Mumewe Amemkuta Mmewe Na Mdogo Wake Mwanamke Wanafanya Mapenzi Bafuni Akapata Presha Akaanguka Baadae Akafariki... Wengi Tukasema Mume Ameua Kutokana Na Matendo Yake. Ila Profesa Alikuja Kusema Hamna Causation Hivyo Mume Hana Hatia. Sasa Relate Na Hapo
nakuunga mkono mkuu6. The Television
Inakera sana mambo ya kiswanglishakufafanulie bhana mambo ya copy and paste aache
Hahahaaaa we noumaaRepeated thread
kawaida mkuu..hii thread ilikuwepo tangu jana na watu waliicoment...hii nimeandika hivyo kwa sababu ni marudio na ndio maana hamna wachangiaji wengiHahahaaaa we noumaa
kweli. Ila nimekukubali kwa kuwa first to replykawaida mkuu..hii thread ilikuwepo tangu jana na watu waliicoment...hii nimeandika hivyo kwa sababu ni marudio na ndio maana hamna wachangiaji wengi
Mkuu mara moja moja tu sio kila saakweli. Ila nimekukubali kwa kuwa first to reply
Thx. Posted as receivedRepeated thread
poa mkuuThx. Posted as received