Wanandoa njooni huku

jamani bila kupepesa macho,kwa ukwel wanandoa ndio wanaongoza kutoka nje ya ndoa kuliko walio wachumba....
 
Kimjaacho mtu ndicho kimtokacho
 
Ya nn presha maisha yenyewe mafupi kila mwanandoa anachunga nafsi yake
 
we nae umeoa??
yan kabisa ni mume wa mtu??
tena miaka tiiiiiisa!!
ehehehehe nyumba zinaficha mengi hizi!!
 

ehehehehehehehe nakupendeaga hapo tu
maakili!!
unaponiuziga ni maakili yote hayo ya kuishi na mke unayamalizia JF
natamaniga ka nikung'ate vile.
 

Mhhhhhhhhhhhh,

Mbona nimeona kama point nyingine hazina tija??

Kwa nini nifikirie na kuwazua kama bibi anabanjuliwa wakati sijalala njaa hata siku moja...na pia pensheni inazidi kunoga?

Nikiwambia wajukuu habari za mimi kunusa nusa mtaani enzi za uwajibikaji wangu...ina tija kweli?

Ngoja kwanza nimuulize Bibi...

Babu DC!!
 
ndo maana nikawaambia mkamate hii fursa, kuna mengi sana ya kufunzana ndoani, yaani mengi mengi mnoooooo......
sasa hapa mtu kabisa anakaa anawaza haya, hili si ni tatizo babu? unaanzia wapi kumwazia mwenzio haya? na wewe wafanya hivyo ndo maana unafikiri na mwenzio anafanya hivyo? mi nashindwa kuelewa kwa kweli
 
nashangaa mwanaume mzima tena mwana ndoa unajiuliza maswali ya kipuuzi kama ya kipimajoto cha ITV? watu wanajiuliza watahamia lini kwenye maghorofa? biashara gani amfungulie mkewe? watoto wasome wapi? mwaka huu tutafanya yapi? we unawaza mingonongono tu? maswali yenyewe unayo majibu...
 
Ukitaka usichapiwe wewe mwenyewe acha uzinzi!
 

Hayo maswali yatakuletea presha na kisukari ndugu yangu, wewe endelea kumpenda mkeo vile alivyo na kwa sababu hujaona lolote usiombe. Utakufa kihoro.
 
nafikiri hawezi kufikiri zaidi ya ngono
 

Anyway...tuendelee kuifurahia hii diversity ya kufikiria...

Binafsi nina mengi sana ya kunipeleka mchaka mchaka...tena ukizingatia kuwa mkongojo wenyewe hauna nguvu ya kuhimili speed!

Babu DC!!
 


Mbona umechukia sana ameline??

Hii ndiyo dunia mdogo wangu. Wakati wengine wanafikiria kujenga viwanda kulisha dunia nzima, wenzio tunafikiria kuijaza dunia. ...Kimtazamo, ni sawa na mbingu na nchi...lol!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…