Assessment ni muhimu sana na matatizo mengine ni ya kujitakiaga.You said it all, sijui binadamu tunakwama wapi.
Nakazia hapo kwenye assessment ya break ups 😆😆 mfano: Mwanaume kaachwa na Asha kisa Asha alikuwa anapenda pesa na ye anajua fika nimeachwa sababu me mchoyo/ bahili sitoi hela lakini badala abaki single mpaka atakapojirekebisha ye anaenda kwa Maimuna yanamkuta yale yale mwishowe aje kuwapa lawama wanawake kuwa wanapenda pesa kumbe tatizo ni yeye aliingia sehemu asiyoiweza.
Tukija kwa wadada me sisemi 🙌🙌😆😆
Hana hela.... Kabayaaaa, m'bahili, Hana swaga hajui hata kuvaa[emoji57][emoji57]Ila mkiachana bae wako ni kibamia, ananuka kwapa, hakufikishi.....endeleza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Utoto nao kazi Sana,
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Duh...I wish I could..Teh teh! Sijawahi kuwa na tabia mbovu kiasi hicho....
Nishawahi kumtetea Ex kwa rafiki angu aliposema all men's are trash. Nikamwambia yule wangu alikuwa a man and half ni mimi tu ndiyo nilikuwa mchokozi waii niliishia tu kuambiwa sumu ya mapenzi bado haijaniisha kumbe wala ni vile kwenye nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi nk
Babaaaa kuna kitu kinaitwa air freshener huwa unapuliza ukimaliza kukata gogo.................. kuna air freshener nzuri sana za kutumia toilet saa zote harufu ni nzuri amka huko ulipo tuko ulimwengu mwingine
hata hivyo bado una utoto pia
Sio kila mtu ni mpenzi wa hizo air freshener. Bora vile vya toilet ambacho chenyewe ni unaning'iniza toilet tu kinavuta harufu... Air freshener za kupuliza wengine wana allergy na manukato.
Ila mkiachana bae wako ni kibamia, ananuka kwapa, hakufikishi.....endeleza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepotea sana mkuu. Long time no see...Natumaini kila kitu kiko salama [emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Ila mkiachana bae wako ni kibamia, ananuka kwapa, hakufikishi.....endeleza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teh teh! Sijawahi kuwa na tabia mbovu kiasi hicho....