Wananchi wawapa viongozi maji machafu mkutanoni

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Wananchi wawapa viongozi maji machafu mkutanoni
Wananchi wa Kijiji cha Marsabit wamewapa maji machafu viongozi wa Serikali waliokuwa mkutanoni wakishinikiza kuacha kujadili masuala yasiyokuwa ya msingi na badala yake wazungumzie upatikanaji wa maji safi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…