Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
WANANCHI wa jamii ya wafugaji kutoka Kata za Lemoti na Lokisare wilayani Monduli katika Mkoa wa Arusha wamewakataa wawekezaji watano mbele ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Francis Miti.
Mbali ya kuwakataa wawekezaji hao, wananchi hao pia wamemtaka mkuu huyo wa wilaya aondoke nao kwa madai wamevamia ardhi yao na kujimilikisha mashamba makubwa bila kufuata utaratibu, hali iliyozua mgogo na kutishia uvunjifu wa amani.
ZAIDI...