Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,607
- 93,405
Mimi siwezi kuanzisha thread kama sina jambo la maana la kushare na Members, ndio tofauti yangu na wewe, maana wewe ukilala ni Chadema ukiamka ni Chadema na hata ukijamba ni Chadema!! sasa hii biashara usidhani kama kila mtu anaiweza.Anzisha thread, saizi tumejikita kwenye hundi za Sabodo zinatumikaje.
Ina maana wewe na akili zako unategemea utabiri wa hali ya hewa wa nchi hii? ni bora hata uangalie CNN.Mvua kubwa sana inanyesha hapa Jengo la Hali ya Hewa kama walivyotabir. Vipi huko kwenu jamani!
Wanabodi,
Wote tuna uchungu na nchi yetu tupambane na ufisadi mbona watanzania humu JF wanahoji kuhusu pesa za EPA, Kagoda, pesa za Uswisi, kwa ni hamtaki wananchi wahoji pesa za Sabodo.
Nasikia zimetumika vibaya kabisa, moja ya matumizi mabaya kuliko yote ni kuchochea vurugu katika chaguzi za ndani ya CCM.....si umeona vijana wa UVCCM walivyotwangana mangumi kule Musoma, au zile ngumi pale Dar na vile vile kule Arusha si uliona zilivyo wachanganya vijana mpaka kumfananisha mwenzao na mlinzi wa kamanda Mbowe? basi subiri taarifa zaidi...... hii ilikuwa kutoka taarifa za kiintelijensia......Mkuu wewe unapohoji pesa za Chenge, nani alikutuma? si umetumia uhuru wako wa kidemokrasia.
Wanabodi.
Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.
Nadhani nyingine alitumia Dr kulipia posa kwa Mama JuniorViongozi wa Chadema wanamuangusha huyu Mzee Sabodo, toka aanze kutoa pesa hakuna hata kisima kimoja kilichochimbwa.
Hao ndio kina nani?Mkuu Chadeda hawataki kuhojiwa chochote lakini wao ndio wajipa mamlaka ya kuhoji.
Hebu tuanze kumuhoji huyu jamaa yako, ni kwa nini amezungukwa na Wazungu tupu na hakuna hata mswahili mmoja? yaani mtu anauza nchi kama ya kwake !? Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
View attachment 67620
Wanabodi.
Mzee Sabodo akitoa hundi kwa viongozi wa Chadema, wananchi wanahoji hizo pesa anazotoa Mzee Sabodo mpaka sasa hivi zimeishafanya kazi gani katika chama, au zimeelekezwa katika miradi gani wananchi wanaomba mchanganuo wa hizo pesa ili wafadhili wengine wajitolee kuchangia chama.