Ozzanne Issakwisa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 288
- 240
Kwa muda mrefu sana nimegundua kuwa migogoro mingi ya ardhi vijijini hutokea baada ya wananchi kuuza ardhi kwa hiari, na kisha wanapoishiwa huleta malalamiko. Hizi tabia zikomeshwe.
Mkuu hilo ni sawa la kuishiwa pesa,lakini malalamiko mengine huja pale ambapo mtu ana hekali 3-5 anauza 2 au 3 na ana watoto wadogo 10 ambao hawajaanza kujitegemea,wakifikia umri ma kujitegemea unadhani nini kitafuata hapo?Kwa muda mrefu sana nimegundua kuwa migogoro mingi ya ardhi vijijini hutokea baada ya wananchi kuuza ardhi kwa hiari, na kisha wanapoishiwa huleta malalamiko. Hizi tabia zikomeshwe.