Nchi nyingi za Afrika machafuko yanapoanza wanasiasa hukimbia na familia zao na kuwaacha raia wakiuawa na Jeshi.
Halafu pili yake wanakutana Ethiopia wakiishi maisha ya gharama kwenye mahoteli makubwa ya kifahari na Perdiem kubwa kubwa huku raia wakifa kila siku kwa njaa na vita.
Ndiyo sababu safafri hii watanzania wameamua kuwaangalia watawala na kuwashangaa.Ni meseji kwa watengenezaji SILAHA za kivita kwamba sasa basi kuendelea kuziuza.