Wananchi Wanapochoka kuonewa na CCM

subiri 2015 utakiona kivumbi kikitimka
 
Wanaonekana ni wananchi wenye hasira kali.......
 
Hapo2 hawajui waende wapi kwani chadema tegemezi na matumaini yao yalipoegemea ndiko mauaji yanakotengenezwa dhidi yao katika staili kuwatoa sadaka kwa ajili ya wachache.
 
Hapa kuna kazi kweli kweli,na ukishaona hali imefikia hivyo ujue mtu anakufa,hakuna mzaha hata kidogo,mbaya zaidi anaokimbilia hakuna pa kuvukia,sijui na kama hali ikiendela kuwa hivi sijui kama huyo jamaa atavuka hilo eneo 2015.
 
Wanaonekana ni wananchi wenye hasira kali.......

Mbaya zaidi wananchi wako zaidi 20 halafu huyo sijui ndiye nani vile yuko peke yake,alishazoea ananyatia,anajilimbikizia na kujilia taratibu,this time majamaa yameamua kumkomalia,nakwamba anakimbia huku anasikia harufu ya kifosijui 2015!!!!!!yangu macho.
 
Duh! Nilidhani anajua kufukuza tu, kumbe na kufukuzwa pia anajua!
 
simba (ccm) mmoja na nyati (wananchi) walio wengi kwa hakika watajeruhiwa lakini mwishowe watamuondosha na kuishi kwa amani ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…