Wananchi wanaitegemea CCM Kuwaletea viongozi bora

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,338
Reaction score
31,860
Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025.

Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
 
Ni tumbo lako linaitegemea CCM ili digestion system tendered kufanya kazi.
 
CCM hakuna kiongozi, kuna wapigaji
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…