Wananchi, Wanaharakati na Viongozi wa Dini pazeni sauti zenu yuko wapi Mwinjilisti Elias Juma?

Hao viongozi wa dini uliowataja ni wapi? Hao kina Malasusa wanaotangaza amani bila haki?
 
Kwani kuna taarifa yeyote kutoka Kwa ndugu zake na watu wake Wa karibu kwamba amepotea?
 
Mi nikipata chance nahama hii Nchi, mateso ya Moyo ninayopata hayavumiliki tena😭😭😭. Tunauliwa kama kuku huku tukiangaliana tu bila kuchukua hatua. Mimi sijui nani alituloga watz jamani.
 
Tunaweza tusimuone tena😭😭😭
Kama Mdude na yule kijana mchoraji wamewapoteza kibabe kabisa! Hawawezi kushindwa kumpoteza na huyo Muinjilisti. Huu utawala wa awamu hii umeteka, umepoteza, umeua, umefunga, umetesa, na kuwafanyia ukatili raia wengi mpaka basi.
 
Utawala usioogopa kutoa uhai wa mwanadamu umeshindwa kuongoza wananchi
 
Mi nikipata chance nahama hii Nchi, mateso ya Moyo ninayopata hayavumiliki tena😭😭😭. Tunauliwa kama kuku huku tukiangaliana tu bila kuchukua hatua. Mimi sijui nani alituloga watz jamani.
Hali ni tete usipounga juhudi watawala hasa kwa vijana kaa kimya vinginevyo utapotezwa
 
Attachments

  • IMG-20250906-WA0000.jpg
    IMG-20250906-WA0000.jpg
    61.6 KB · Views: 12
Mchumia Janga hula na wa kwako.
Acha ndugu zake na watu wa karibu waumie we kama huna ukaribu na familia inakuhusu nini
Unabariki na kufurahia yaliomkuta hakuna Sheria za kumwajibisha akiwa amefanya kosa
 
Mi nikipata chance nahama hii Nchi, mateso ya Moyo ninayopata hayavumiliki tena😭😭😭. Tunauliwa kama kuku huku tukiangaliana tu bila kuchukua hatua. Mimi sijui nani alituloga watz jamani.
We unashauri tufanyeje
 
Unabariki na kufurahia yaliomkuta hakuna Sheria za kumwajibisha akiwa amefanya kosa
Kwani kimemkuta kitu gani Mkuu?
Usitumie mihemko sana,
We umeona hata kiongozi mmoja wa CHADEMA kumuongelea?
Ndio ujue ugali wa familia yako ni muhimu kuliko mihemko ya kisiasa.
We kubali,kataa,tukana ila ndio uhalisia
 
Mimi sina chama sina mihemko ya kisiasa sijatukana mtu yeyote nimeulizia kibinadamu kiutu
 
Attachments

  • Waraka wa chadema.mp4
    13.2 MB
Back
Top Bottom