jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Lile sakata la wananchi kuvamia shamba la Sumaye kule Mabwepande limeingia hatua nyingine baada ya wananchi kujimilikisha rasmi eneo hilo na kuweka vibao vyenye kuashiria kulimiliki eneo hilo.
Pole kwa Sumaye lakini waswahili wanasema malipo ni hapa hapa duniani...kosa la kwenda kujiunga na mafisadi na kutaka nchi hii iongozwe na mafisadi litakuponza milele...
Bado zile ranchi zetu mturudishie tuendeleze uchumi.