Wananchi Wamkataa mgombea ubunge Dr Emmanuel Makaidi

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,180
Reaction score
3,419
Hii imetokea leo uko wilayani Masasi mbele mgombea mwenza wa UKAWA babu Duni.
Wananchi hao walimzomea Dr. Makaidi aliesimamishwa kupitia NLD na waliimba wakimta Kundambwa.

Chanzo: channel ten habari
 
aise mbona ujaeleweka unamahanisha nini au umekula maharage na wewe pia
 
Hii imetokea leo uko wilayani masasi mbele mgombea mwenza wa ukawa babu Duni.
Wananchi hao walimzomea dr makaidi aliesimamishwa kupitia NLD na waliimba wakimta Kundambwa
Source channel ten habari

Eeeeeh,endelea
 
Mkuu, ahsante kwa kuleta uzi huu. Ila tukio hili limetokea jana pale Masasi wakati Juma Duni Haji alipohutubia makumi ya wananchi wa mji wa Masasi akimuombea kura Mgombea Urais, Edward Lowasa. Mara baada ya kunadi sera za UKAWA, Babu Duni alimsimamisha Makaidi ili kumuombea kura. Baada ya kusimama, wananchi walianza kumzomea na kuporomosha maneno makali kuashiria kuwa hawamtaki.

Watu hao walipaza sauti zao wakisema kuwa hawamtambui Makaidi kwa vile si mtu wao. Wakasema kuwa asimamishwe Kundambanda ambaye wanaishi naye kila siku na wanamfahamu. Kundambanda amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya CUF. Baada ya tafrani hiyo, mkutano huo ulivunjika na mzee Makaidi jasho lilikuwa linachuruzika hasa kwapani kutokana na kuhemwa na kile kilichomtokea.

Hapa ni dhahiri kwamba Makaidi Ubunge ameukosa. Ajipange kivingine. Na ni dhahiri pia kuwa UKAWA wameshapoteza jimbo la Masasi Mjini
 
Makaidi nae anatembelea nyota za wenzake,yani kundambanda kapigana kujijenga kisiasa kupitia cuf,alafu yy anakuja apate kiulaini kisa ukawa
 
Mkuu, ahsante kwa kuleta uzi huu. Ila tukio hili limetokea jana pale Masasi wakati Juma Duni Haji alipohutubia makumi ya wananchi wa mji wa Masasi akimuombea kura Mgombea Urais, Edward Lowasa. Mara baada ya kunadi sera za UKAWA, Babu Duni alimsimamisha Makaidi ili kumuombea kura. Baada ya kusimama, wananchi walianza kumzomea na kuporomosha maneno makali kuashiria kuwa hawamtaki.

Watu hao walipaza sauti zao wakisema kuwa hawamtambui Makaidi kwa vile si mtu wao. Wakasema kuwa asimamishwe Kundambanda ambaye wanaishi naye kila siku na wanamfahamu. Kundambanda amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya CUF. Baada ya tafrani hiyo, mkutano huo ulivunjika na mzee Makaidi jasho lilikuwa linachuruzika hasa kwapani kutokana na kuhemwa na kile kilichomtokea.

Hapa ni dhahiri kwamba Makaidi Ubunge ameukosa. Ajipange kivingine. Na ni dhahiri pia kuwa UKAWA wameshapoteza jimbo la Masasi Mjini

Kinacho takiwa ni kuinyima nafasi popote pale hata ikibidi tutachagua jiwe kuliko kuipa ccm kura
 
Huyu mmawia huwa hapendi kabisa kusikia habari hasi za upande wake.
 
Hii imetokea leo uko wilayani masasi mbele mgombea mwenza wa ukawa babu Duni.
Wananchi hao walimzomea dr makaidi aliesimamishwa kupitia NLD na waliimba wakimta Kundambwa
Source channel ten habari

Kwakweli nimeamini UKAWA wameingia CHOO CHA KIKE
 
Hii imetokea leo uko wilayani masasi mbele mgombea mwenza wa ukawa babu Duni.
Wananchi hao walimzomea dr makaidi aliesimamishwa kupitia NLD na waliimba wakimta Kundambwa
Source channel ten habari
Muwe mnatoa tafsili mnapoandika kilugha kundambwa ndiyo nini.
 
Makaidi ana nyota ya ccm.teh teh teh..Tutafanya sasa maana huku upande wetu watu hawataki kupachikana kwa goli la mkono.Ka vp anyooshe mikono tu ili asije akarudisha nyuma harakati.
 
Back
Top Bottom