mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Kwa sasa mjadala wa bajeti kuu iliyowasilishwa wiki iliyopita na waziri wa fedha unaendelea bungeni. Cha kushangaza kila mbunge anayepata nafasi ya kuchangia hotuba hiyo anajikita katika suala la kiinua mgongo ambacho kitatozwa kodi 2019/2020.
Masuala ya msingi ambayo yanamgusa mtanzania wa hali ya chini yamewekwa kando, kwani hiki kiinua mgongo chao ndio kinachotumika kuhadaa wananchi ( kuwahonga) ili wapate tena kura.
Masuala ya msingi ambayo yanamgusa mtanzania wa hali ya chini yamewekwa kando, kwani hiki kiinua mgongo chao ndio kinachotumika kuhadaa wananchi ( kuwahonga) ili wapate tena kura.