Hakuna tofauti mkuu ningeandika "kisa mtu kagongwa" ishu ni kuwa tutafunga barabara namna hii mpaka lini na kupasua vioo vya watu wakati ikiwa ajali namna hii zinatokea kila siku.....

Mtu kalewa kavuka bila uangalifu mnafunga barabara?
Mpakani hakuna zebra na kama ipo jmefutika
Ingekua huyo aliegongwa alisimama pembeni naweza kuwaelewa lakini kama kagongwa katikati ya barabara basi hawana tofauti na Kitwanga