Wananchi wafunga barabara asubuhi hii Arusha

Wananchi wafunga barabara asubuhi hii Arusha

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
WANANCHA WA ARUSHA ENEO LA MULOMBOO WAMEFUNGA BALABALA KUTOKANA NA WANANCHI KUUWAWA MARA KWA MARA KUTOKANA NA KUGONGWA NA MAGARI KATIKA ENEO HILO(HILI NALO SIJUI WATATUAMBIA NANI KACHOCHEA TUSUBIRI)
 
haya Mulungo ngoja aje na hapo, atamkamata yoyote ambambike kesi, huyo jamaa na DD ZAKE ZA O LEVEL HANA BUSARA KABISA, HIVI VYEO VYA WAKUU WA MIKOA NA WAKUU WAWILAYA AMBAO HAWAWAJIBIKI KWA WANANCHI BALI KWA CHAMA NI HATARI SANA... ARUSHA PATARIPUKA TENA MUDA SI MREFU.. MULONGO NENDA NA HAPO WAKUPIGE MAWE
SERUKAMBA WEWE..
 
Chadema mnaendeleza uhuni wa kuharibu Taifa letu. By dr Slaa Taifa halitotawalika ndio tunachoshuhudia.
 
WANANCHA WA ARUSHA ENEO LA MULOMBOO WAMEFUNGA BALABALA KUTOKANA NA WANANCHI KUUWAWA MARA KWA MARA KUTOKANA NA KUGONGWA NA MAGARI KATIKA ENEO HILO(HILI NALO SIJUI WATATUAMBIA NANI KACHOCHEA TUSUBIRI)

Lema atafutwe akatolee maelezo hili kituo cha polisi ...... huu ni uchochezi wa lema dhahiri atafutwe awekwe ndani!!!!!!
 
Hizi bangi kweli mbaya, yani zina haribu kabisa uwezo wa mtu kufikiri!

Sasa kama hao wananchi waliofunga barabara, kwani hawazijui taratibu za kuweka bumps kwenye barabara mpaka waifunge?

Kama barabara ni ya kitaifa au mkoa, basi wawasiliane na TANROADS ambao wana ofisi karibu kila mkoa, au kama ni ya wilaya wawasilishe halmashauri.

Mbona ni jambo dogo tu hili na wala halihitaji kuandamana na kufunga njia, kweli CHADEMA mmetuharibia jamii yetu.
 
Ahaa nilidhani wanamlilia lema kumbe ni matatizo yao ok maana huyu rc wa arusha ni kiboko ya manunda
 
Mwisho wa siku tutakuwa na majibu sahihi zaidi nani anaye haribu nchi kati ccm na chadema,ingawa haki ya mtu bado itaendelea kupiganiwa
 
Kweli watz tumekuwa wanasiasa zaidi jambo haliusihani na siasa tunajadili kisiasa. duh ccm na cdm hovyo kabisa.
 
hizi bangi kweli mbaya, yani zina haribu kabisa uwezo wa mtu kufikiri!

Sasa kama hao wananchi waliofunga barabara, kwani hawazijui taratibu za kuweka bumps kwenye barabara mpaka waifunge?

Kama barabara ni ya kitaifa au mkoa, basi wawasiliane na tanroads ambao wana ofisi karibu kila mkoa, au kama ni ya wilaya wawasilishe halmashauri.

Mbona ni jambo dogo tu hili na wala halihitaji kuandamana na kufunga njia, kweli chadema mmetuharibia jamii yetu.

na wewe domo kaya, kwani mpaka leo hujaelewa kuwa "serikali si sikivu" watakuwa wameshapeleka malalamiko yao hayajasikilizwa ndio maana wameamua kuchukua hatua wenyewe.
 
Chadema mnaendeleza uhuni wa kuharibu Taifa letu. By dr Slaa Taifa halitotawalika ndio tunachoshuhudia.

Nashangaa kuona watanzania wanasema CDM inaharibu amani ya nchi, maswali ninayojiuliza ni kuwa hao CDM wanaongoza nchi?, Je wana dola?, Je wana vikundi kama Janjawid na Alshabab na kusema kuwa wanafanya hivyo?, je wana silaha wanazotumia kupambana?, Je walishawahi kwenda mahala na kuvamia na kufanya fujo?

Hebu chunguza picha hiyo na tuambie hao wananchi wana silaha gani wanazotumia kujilinda mpaka waharibu nchi?
 
Chadema mnaendeleza uhuni wa kuharibu Taifa letu. By dr Slaa Taifa halitotawalika ndio tunachoshuhudia.

Dr.Slaa alisema vile kwa sababu alijua UDHAIFU wa JK kama unavyojidhihirisha sasa.
 
Hizi bangi kweli mbaya, yani zina haribu kabisa uwezo wa mtu kufikiri!

Sasa kama hao wananchi waliofunga barabara, kwani hawazijui taratibu za kuweka bumps kwenye barabara mpaka waifunge?

Kama barabara ni ya kitaifa au mkoa, basi wawasiliane na TANROADS ambao wana ofisi karibu kila mkoa, au kama ni ya wilaya wawasilishe halmashauri.

Mbona ni jambo dogo tu hili na wala halihitaji kuandamana na kufunga njia, kweli CHADEMA mmetuharibia jamii yetu.

Mbona wanafunzi waliwahi kufunga Chang'ombe road maeneo ya Kibasila....pia huko Kigogo kuhamasisha matuta....hata UDSM pia walifunga Mandela road kwa maandamano makubwa...the problem you comment like you are not living in this country!
 
Back
Top Bottom