STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo:
1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao.
2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka.
3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana.
Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake.
Peoples Power.