Elections 2010 Wananchi wa Ubungo, Kawe, Rombo, Kigoma, Musoma Mwanza, Shinyanga,A-Town tuwapongeze

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo:

1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao.

2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka.

3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana.

Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake.

Peoples Power.
 
Pongezi nyingi nazituma kwa watanzania waliopiga kura kwa CHADEMA na kuzilinda hadi mgombea wao akashinda popote walipo Tanzania. Mungu awabariki, Amina.
 
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo:

1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao.

2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka.

3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana.

Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake.

Peoples Power.

Umesahau Ukerewe, Mbeya mjini, wote walikuwa mafisadi.
 
Nafikiri tuwape pongezi wale wote waliochagua mabadiliko na sisi wengine kura zetu ziliibiwa ndio maana hazikutosha.
 
Back
Top Bottom