Wananchi wa Ubungo, Kawe, Rombo, Kigoma, Musoma Mwanza, Shinyanga,A-Town tuwapongeze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa Ubungo, Kawe, Rombo, Kigoma, Musoma Mwanza, Shinyanga,A-Town tuwapongeze

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by STEIN, Nov 12, 2010.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo:

  1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao.

  2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo yametangazwa kama walivyopiga kura zao na kupata viongozi wanaowataka.

  3.Wameonyesha mfano kwa watanzania wote kuwa mabadiliko yanawezekana.

  Tuzidi kuongeza na wengine wote waliolinda kura kwani kuanzia sasa ishue si kupigia kura chama mbadala ni pamoja na kulinda kura zake.

  Peoples Power.
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Pongezi nyingi nazituma kwa watanzania waliopiga kura kwa CHADEMA na kuzilinda hadi mgombea wao akashinda popote walipo Tanzania. Mungu awabariki, Amina.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Umesahau Ukerewe, Mbeya mjini, wote walikuwa mafisadi.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Nafikiri tuwape pongezi wale wote waliochagua mabadiliko na sisi wengine kura zetu ziliibiwa ndio maana hazikutosha.
   
Loading...