Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Pemba kwa mara ingine inachemka kuliko sehemu nyingine yeyote hapa Tanzania na kwa kweli wamepania ama zao ama za Jecha.
Uchaguzi wameshasema kuwa walishamaliza na wabunge na wawakilishi wao tayari wanao mfukoni na hawatoruhusu kufunguliwa kituo chochote kile cha uchaguzi wa Jecha hapo tarehe 20 ,watakufa na masimamizi wa kituo on the spot and no comments about that.
Wamezidi kudai kuwa wanaoleta uchaguzi huo wamekusudia kuivuruga amani ya nchi na ole wake mbunge au mwakilishi atakae shinda uchaguzi wa Jecha ,akitangazwa usiku maziko asubuhi ,kwani wameshasikia kuwa watatangazwa washindi hata kama uchaguzi hautafanyika.
Upatu unaopigwa Pemba ni kuwasili katika vituo vya kupigia kura asubuhi na mapema wakiwa na vitambulisho vyao halali vya kupigia kura kama ni vifo na mauaji yanayotayarishwa na CCM chini ya mwevuli wa uchaguzi wa jecha basi vitaanzia katika vituo vya kupigia kura ,ili Jecha apate nafasi nyingine ya kufuta uchaguzi.