Wananchi wa Nchi Mbalimbali Bado wanaendelea kutuma Maombi ya kumtaka Rais Samia awe Rais wao. Tanzania tuna bahati sana

Hasa hawa aliopiga nao picha!
IMG-20220419-WA0000.jpg
 
Mkuu umezungumza kitu cha ukweli kabisa mama anafanya kazi nzuri kutibu majeraha tuliyoachiwa na mtangulizi wake. Kiukweli sasahivi hakuna mambo ya kutekana wala kutishana.

Zamani mtu unakuwa huna uhakika wa kulala na kuamka maana wasiojulikana walitapakaa kila kona.
 
Back
Top Bottom