Wananchi wa Nchi Mbalimbali Bado wanaendelea kutuma Maombi ya kumtaka Rais Samia awe Rais wao. Tanzania tuna bahati sana

Nakushauri ktk hiyo username yako neno "Maarifa" liondoe, libaki hilo la "Chizi" pengine ndio linalokufaa
 
🤣🤣🤣🤣 sikutegemea kama nitacheka namnahii leo, nilikuwa na hasira za kuibiwa hoarding materials yangu hapa site lakini daah.

Nimesoma heading to imetosha kunipa kicheko.
Asante mkuu kwa kuniongezea siku duh.
 
Marais wanaojitambua👇
IMG_20220404_100611_745.jpg
IMG_20220402_184504_432.jpg
AARD4K.jpeg

Rais hewa👇🐒🐒🐒
 
Muwe mnachunguza hata hata majina mnayojipa humu mitandaoni,mengine ni roho za kuzimu,huumba. Sasa mtu unajiita chizi utegemee kuwa salama.
 
Halafu hizo nchi zimeathirika pakubwa na janga la covid,maana shughuli nyingi za uzalishaji zilisimama huku siye tukiendelea na uzalishaki lakini bado tuko mkiani tu. Lakini tunashangaa nini kama tetemeko lililotokea Kagera,badala ya kuwasaidia wananchi walioumizwa na wengine kufa,tuliishia kuwatukana. Usifikiri kuna tofauti kubwa kati ya Magu na huyu, wote ni walewale.
Magu alizuia mikutano ya vyama na huyu kashikilia hapohapo.
 
Haijawahi kutokea hata wasanii juzi wamemshukuru kuwasaidia kupata tuzo za music hakika anastahili kuwa hata Rais wa ulimwengu anawajali sana raia wa kipato cha chini
Tuzo ya muziki inaongeza tija gani katika nchi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi kuifanikisha. Yaani pesa ya mlipa kodi itumike kumpa tuzo mwimbaji wa singeli na kigodoro alafu iwe sifa kwa raisi!! aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
 
Nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South Africa. Ni jamaaa wa nne namsikia akisema maneno hayo. Maana last week nilikuwa Zambia nako nilimsikia jamaa mmoja ni Muuzaji wa Mafuta (Mfanyabiashara 0 naye alitamani kama wangekuwa na Rais kama Samia ambaye ameleta mapinduzi Makubwa katika Uchumi ndani ya muda mfupi sana.

Haraka ikaunganisha na lile tamko kuwa kuna maombi ya nchi kama tatu hivi yakitaka Rais Samia awe Rais wao. hapo nikashukuru Mungu kuwa sisi Tanzania tumebarikiwa sana. na inawezekana tusione jambo hili kwa wepesi ila kweli nawaambia nabii hakubaliki kwao. Toka awe madarakani tumeona mapinduzi makubwa sana katika biashara. Nchi sasa imefunguliwa watu wanaingia na kutoka. Zamani hali ilikuwa ngumu na kupelekea hata watu kuanza kuiba yale masega ya kwenye magari kuyatumia. Sasa hayo mambo yameisha hawaibi tena sababu hamna sababu zao zile za kipuuzi ze kuiba wakayavute kama madawa ya kulevya.

Mpaka tukifika mwaka 2025 niamini mimi nachokwambia kuna watu watakuwa wanakuja kumwazima akaongoze nchi zao hata kwa wiki kadhaa tu. Kenya nao naona wanapiga jalamba katika harakati hizi za kumtaka Rais Samia awe wao.

Jamaa hawachelewi kusema ni Rais wao kwa jinsi ambavyo siku zote hupenda vitu vizuri viwe vyao.
Muombee sana uyo jamaa apone icho kichaa
 
Pumbavuuuuuuu
 
Tuache ujinga
 
Ndio maana unajiita Chizi
 
Back
Top Bottom