masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,834
- 14,988
Mahali popote ambapo chadema au chama kingine kimepata uongozi; ccm na serikali yake huwa wanafanya hujuma ya maendeleo ili wananchi wachukie vyama hivyo, na hizo ndio intrigues za ccm na Mbeya mjini is no exception!! Hizo nyumba za udongo unazozisema hapo Mbeya mjini zipo toka enzi za ukoloni na kuna nyumba nzuri ambazo wewe hutaki kuzitaja upande wa Forest na Mwakibete!! Tumekuwa na viongozi wa chama tawala toka enzi hizo and there is nothing to write home about na ndio maana wana Mbeya wanataka mabaliko ya kweli na ndio yameanza kwa kuwaondoa wabunge wa magamba nahiyo itawafuata hata nyie huko kwenu Rungwe!!Huko mageuzi yameanzia Kiwira kwa kushinda kiti cha udiwani na wanakuja mpaka Huko Mashariki!!
Thats the problem.
Tukiongea maendeleo nyie mnakazana na rhetorics za politics.
Kama unamkumbuka mzee Mwangoka na matofali ya kupikwa toka baada ya uhuru utaelewa naongea nini.
You guys seem to think CDM itawaletea neema, endeleeni kusubiri wakati Sugu wenu anamaliza bifu lake na mapolisi.
madawa ya kulevya na bangi
Kwa vile tumeacha mada tuingie siasa mnazozipenda.Chadema inaonesha ishara ya kuwajali watu, na chama chochote cha siasa kinachowajali watu ndio kitakachowaletea maendeleo!! Uongozi chadema haununuliwi kwa pesa kama mnavyofanya nyie huko ccm na ndio maana watu masikini wenye uwezo wanapata uongozi CHADEMA lakini nyie magamba kama huna hela za kuhonga huwezi kuchaguliwa. Waulize wenzio walitumia milioni ngapi kumnunua Shitambala kama njia ya kuua Chadema. Chadema hawawezi kufanya ujinga wa magamba wa kuwaibia wananchi wao; hapo Mbeya tu kuna mifano mingi tu ya ufisadi kikiwemo hicho kiwanja cha ndege ambapo mabilioni ya fedha yametumika lakini yaliishia mifukoni mwa wanasiasa wajanja kwani hadhi ya hicho kiwanja haiendani na fedha za wananchi zinazosemekana zilitolewa na serikali!! Serkaili hii ingekuwa ya Chadema lazima viongozi waliohusika na mradi huo lazima wangewajibika. Wewe na wenzio magamba macho yenu mnaelekeza kwenye UGALI TU!!!
Hakuna kitu kama hicho.....hata kama angeitwa Mbibhi Ndupu bado haibadilishi chochote.Hata yeye alikuwa anatetea mabosi wake.
Kijana wao kapigwa kwasababu alitaka kupigwa,Mimi kama mwana Mbeya ninayo imani na mbunge/Rais wetu wa Mbeya!!!!!
Pipoooooooooooz
Maweee!!
Lipa kwanza umemba hapa JF tukuelewe.
ha! hivi kumbe hapa JF tunatakiwa kulipia umemba!!!??? nilidhani malipo ni kwa priviledged titles tu! eti miss strong ni bei gani ya kulipia "umemba"!Utaelewa tu......
ha! hivi kumbe hapa JF tunatakiwa kulipia umemba!!!??? nilidhani malipo ni kwa priviledged titles tu! eti miss strong ni bei gani ya kulipia "umemba"!
Chadema inaonesha ishara ya kuwajali watu, na chama chochote cha siasa kinachowajali watu ndio kitakachowaletea maendeleo!! Uongozi chadema haununuliwi kwa pesa kama mnavyofanya nyie huko ccm na ndio maana watu masikini wenye uwezo wanapata uongozi CHADEMA lakini nyie magamba kama huna hela za kuhonga huwezi kuchaguliwa. Waulize wenzio walitumia milioni ngapi kumnunua Shitambala kama njia ya kuua Chadema. Chadema hawawezi kufanya ujinga wa magamba wa kuwaibia wananchi wao; hapo Mbeya tu kuna mifano mingi tu ya ufisadi kikiwemo hicho kiwanja cha ndege ambapo mabilioni ya fedha yametumika lakini yaliishia mifukoni mwa wanasiasa wajanja kwani hadhi ya hicho kiwanja haiendani na fedha za wananchi zinazosemekana zilitolewa na serikali!! Serkaili hii ingekuwa ya Chadema lazima viongozi waliohusika na mradi huo lazima wangewajibika. Wewe na wenzio magamba macho yenu mnaelekeza kwenye UGALI TU!!!
Amezaliwa miaka 67 ilopita ni mtoto wa 2 katika familia yetu. Alibahatika kusoma elimu ya watu wazima akiwa na miaka 49. Ni kwamba ikishafika miezi kama hii akili yake huwa haitabiriki kabisa. Jina lake halisi ni MAKOPO lakini yeye mitaani anajiita ZE MARCOPOLO. Jaman kwa niaba ya familia tunaomba msimchukulie vibaya hata njaa kali imechangia ukichanganya na uzee ndo basi tena.
Basi mkuu kutokana na hiyo profile yake nimemsamehe bure
Hakuna malipo, hapa JF, lakini nafikiri mmeona message inayosema mkono mtupu haulambwi!ha! hivi kumbe hapa JF tunatakiwa kulipia umemba!!!??? nilidhani malipo ni kwa priviledged titles tu! eti miss strong ni bei gani ya kulipia "umemba"!
Mwe fikoloboji mulifikafu fijo, kangi mukwenda ni fyana ifi fikiimbamo ni sukulu.....ndigha ujhobhile isyo sito kalumbu! yaani huyo mbwiga anadhani kama mtu ni wa home basi ndio alete ufyontolo wake kwa mbunge wetu, hiyo haikubaliki! na wewe masopakyindi u r' next!
Hakuna malipo, hapa JF, lakini nafikiri mmeons message inayosema mkono mtupu haulabwi!
Na ndio tatizo la Watanzania kama ninyi kupenda kutumikiwa free of charge.
Nyie sikafunje inaelekea ni wagumu sana, kupenda vya bure mtauza uhuru wenu!
Ha ha ha haaa, unatuchekesha tulionuna wewe Suip. Kwani sugu anatumia bangi! ha ha ha, hii kali
Maneno mingi juu ya nini?ukinisaidia kuiona hiyo massage, basi najitoa JF instantly!
Ndo zenu hizo kupenda vya bure!ukinisaidia kuiona hiyo massage, basi najitoa JF instantly!