Wananchi wa Lulindi wasusia Uchaguzi hii Leo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,956
Reaction score
63,762
Wananchi wa Lulindi wasusia uchaguzi baada ya kutoridhishwa na uchaguzi uliyomalizika Octobar 25.

Wananchi wa jimbo la Lulindi wengi wakiwa vijana wamesusia uchaguzi wa mbunge baada ya kutoridhishwa na mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu uliyomalizika Octobar 25 mwaka huu kwa madai mfumo wa siasa bado umeegemea chama kimoja na si vyama vingi.

ITV imetembelea baadhi ya vituo katika kata za Chiungtwa, Namalenga, na Lulindi na kukuta sehemu kubwa ya vituo havina watu lakini pia iliweza kupita muda wa dakika tatu mpaka tano anajitokeza mpiga kura mmojammoja kama anavyozungumza msimamizi Romanus Charles.

Wengi waliojitokeza katika uchaguzi huo ni wazee wenye umri mkubwa na wakina mama wenye umri wakati, hata hivyo wagombea pia walijitokeza kupiga kura na wakawa na ujumbe huu.

Jimbo la Lulindi linawapiga kura elfu 59 miasita 19 huku likiwa na vituo vya kupigia kura 199, kata kumi na nane, limelazimika kurudia uchaguzi baada ya jina la mgombea ubunge wa CUF kukosewa.

Chanzo: ITV
 
wasusie tu watakao piga haohao,:na mshindi atapatikana na tena wasi lalame hawana maendeleo
 
Lulindi? Iko mkoa gani?
 
Wanamsusia nguruwe shamba LA miwa! Ngoja Arusha tuwaonyeshe kazi kwa kumchagua kamanda Lema kwa kura za kishindo ili akayakamue magamba bungeni.
ARUSHA HASUSI MTU.MACCM YASITIE TAMAA BURE! KUSUSA NI HUKO HUKO MTWALA SIJUI WAPI HUKO!!
 
Arusha Mpeni Lema Nafasi,sisi Tarime Tumemuua Mbwa
 
kutokana na matokeo ya uraisi kutowapendeza wananchi hao wamekata tamaa kupiga kura kwani wanaamini waliompigia kura hakupita so hawana imani tena hata wakipiga kura wakamchagua waliompenda ila anapita mwingine so hakukuwa na hamasa kama awali na mwamko ulikuwa mdogo sana.

chanzo; ITV habari ya saa mbili usiku
 
Leo kumekuwa na chaguzi ndogo mbili zilizohusisha Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara kumchagua mbunge wa Jimbo hilo na uchaguzi wa diwani katika kata ya Saranga mkoani Dar-es-salaam.

Katika chaguzi hizo zote mbili,mahudhurio yameripotiwa kuwa ni madogo na wasimamizi wamekiri kuwepo kwa hali hiyo.

Baadhi ya wananchi waliohojiwa wameonyesha kutokuwa na imani na chaguzi hizo na wamesema hawaoni sababu ya kupiga kura huku wakitolea mifano ya kasoro zilizojitokeza kama vile ucheleweshaji wa kutangaza matokeo n.k

Chanzo:ITV

Nilichogundua hapa ni watu kutokuwa na imani tena na chaguzi hizi na ni wazi wamekata tamaa ya kupiga kura.
 
Leo kumekuwa na chaguzi ndogo mbili zilizohusisha Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara kumchagua mbunge wa Jimbo hilo na uchaguzi wa Diwani katika kata ya Saranga mkoani Dar-es-salaam.

Katika chaguzi hizo zote mbili,mahudhurio yameripotiwa kuwa ni madogo na wasimamizi wamekiri kuwepo kwa hali hiyo.

Baadhi ya wananchi waliohojiwa wameonyesha kutokuwa na imani na chaguzi hizo na wamesema hawaoni sababu ya kupiga kura huku wakitolea mifano ya kasoro zilizojitokeza kama vile ucheleweshaji wa kutangaza matokeo n.k

Chanzo:ITV

Nilichogundua hapa ni watu kutokuwa na imani tena na chaguzi hizi na ni wazi wamekata tamaa ya kupiga kura.

Unapata wapi nguvu za kusimama kwenye jua eti umpigie kura mtu ambaye unajua kabisa kabisa hata tangazwa ni afadhali kubaki umelala nyumbani kuliko kushirik ujinga.
 
naona mnatafuta visingizio ili mkipigwa mpate pa kushikilia. aibu!

Wananchi wa Lulindi wasusia uchaguzi baada ya kutoridhishwa na uchaguzi uliyomalizika Octobar 25.

Wananchi wa jimbo la Lulindi wengi wakiwa vijana wamesusia uchaguzi wa mbunge baada ya kutoridhishwa na mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu uliyomalizika Octobar 25 mwaka huu kwa madai mfumo wa siasa bado umeegemea chama kimoja na si vyama vingi.

ITV imetembelea baadhi ya vituo katika kata za Chiungtwa, Namalenga, na Lulindi na kukuta sehemu kubwa ya vituo havina watu lakini pia iliweza kupita muda wa dakika tatu mpaka tano anajitokeza mpiga kura mmojammoja kama anavyozungumza msimamizi Romanus Charles.

Wengi waliojitokeza katika uchaguzi huo ni wazee wenye umri mkubwa na wakina mama wenye umri wakati, hata hivyo wagombea pia walijitokeza kupiga kura na wakawa na ujumbe huu.

Jimbo la Lulindi linawapiga kura elfu 59 miasita 19 huku likiwa na vituo vya kupigia kura 199, kata kumi na nane, limelazimika kurudia uchaguzi baada ya jina la mgombea ubunge wa CUF kukosewa.

Chanzo: ITV
 
​2020 hali itakuwa mbaya zaidi kwenye uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom