Wananchi wa Kigoma Mjini, mwaka mpya msipike pilau kitapikwa chakula cha kwa pamoja

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mbunge wa Kigoma mjini amewaomba wanachi wa Jimbo lake kutokupika pilau siku ya Mwaka mpya kwani kitapikwa chakula cha kwa pamoja Katika viwanja vya Mwanga Community Center.

Aidha Mhe. Baba levo amesema watakuwepo viongozi wa dini mbalimbali ambao watauombea mji wa Kigoma Mjini pamoja na baadhi ya wasanii pia watakuwepo kutoa burudani kwa Wasanii.

Hivi huyu pesa anatoa wapi?
Bwana huyo anahusika sana na utakatishaji mahela lakini kubwa kuliko huyu kwa asili ana uchawa wa kuzaliwa,
Kuna mabwana wadogo watoto wa vigogo huyu jamaa ndio anawafanyia uchawa na kucheza nao kamari ,
Hapo hapo ndio hujiongeza
Kidogo analeta tumaini kwamba anachokipata kwa njia zake za kuuza utu anakipeleka kwa wenzie sio mbaya sana
 
Mbunge wa Kigoma mjini amewaomba wanachi wa Jimbo lake kutokupika pilau siku ya Mwaka mpya kwani kitapikwa chakula cha kwa pamoja Katika viwanja vya Mwanga Community Center.

Aidha Mhe. Baba levo amesema watakuwepo viongozi wa dini mbalimbali ambao watauombea mji wa Kigoma Mjini pamoja na baadhi ya wasanii pia watakuwepo kutoa burudani kwa Wasanii.

Probably it is money laundering thou the guy is also a gambler with high stakes..
 
Kuna mikoa haitakuja kuendelea milele!....
 
Baba Levo anagusa sana maisha ya wananchi
Kuzidi hata hao wabunge wenye visomo vikubwa.
Mbunge wa Kigoma mjini amewaomba wanachi wa Jimbo lake kutokupika pilau siku ya Mwaka mpya kwani kitapikwa chakula cha kwa pamoja Katika viwanja vya Mwanga Community Center.

Aidha Mhe. Baba levo amesema watakuwepo viongozi wa dini mbalimbali ambao watauombea mji wa Kigoma Mjini pamoja na baadhi ya wasanii pia watakuwepo kutoa burudani kwa Wasanii.

gud
 
Huku kuna shule wanafunzi wanakaa chini mji huohuo!!
 
Probably it is money laundering thou the guy is also a gambler with high stakes..
1000092773.webp
 
Back
Top Bottom