Wananchi tuwe makini na CHADEMA

SASA BASI..mkienda kwenye msafara wa Lissu kuweni na njugu..an eye for an eye
 
Nchi unapaswa kuwa makini na ccm ndio wanaovunja amani yetu, angalia uhuni wa dc wa Hai Kwa Lissu.
 
Mleta mada una matatizo jipime. Hauko sawa. Umelipwa bei gani. ?
 
Chadema kwa kweli mmekua Kama gari lililokosa breki mlimani.

Leo hii nyinyi ndo watetezi wa MAFISADI na kupinga maendeleo ya nchi hii ili tu muwadanganye wananchi wawachague mpate kuendelea kula keki ya nchi hii!
 
Hovyoooooo.
 
Hii inaitwa mzazi kauza mgombe then kapeleka ngombe shule.
 
Ukisikia akili za kulengea tundu la choo basi ndio hizi!Hivi lumumba hamuelewi tu kuwa hizo propaganda zenu mfu zimeshapuuzwa?Watanzania wa leo sio wa miaka ile!
Tatizo la Lumumba wanatuona watanzania mandezi sana. Uzuri watanzania wa leo si wa Jana wala juzi. Wameamka sana kiakili
 
Na kweli kabisa tumeamka Sana maana si kwa kuaminishwa kule mtu Fisadi papa miaka zaid ya 10 afu tubadilishiwe gia angani.
Watz wa juz,Jana si wa Leo maana si kwa ajenda za nchi Haina ndege Kisha zinunuliwe na tubadilishe ajenda kua ni ndege hazituletei kula.

WaTZ sisi so wake wa kuaminishwa kua tunataka democracy Kisha mwenyekiti wa chama adumu zaidi ya vipindi 3-4 huku akimfyekelea mbali kila aliyetaka hicho kiti.
WaTZ wa Sasa si wale wakihoji matumizi ya ruzuku basi wanafukuzwa ndani ya chama huku wakiangalia ruzuku zikitafunwa.
WaTZ wasasa so wale wa Jana wakuona gari ya chama ikiandikwa kadi ya umiliki jina la mwanachama.
WaTZ wa Sasa si wale wa Jana wa kukaa na Dr.slaa kupambania ufisadi Kisha tunayemtaja Fisadi aje apewe nafasi ya kugombea huku Dr.slaa akiwekwa pembeni kisa tu Hana fedha ya kampeni.

WaTZ wa Sasa si wa Jana wa kuimba mabadiliko na kuzungusha mikono ya mabadiliko.
WaTz wa Sasa si wakuangia barabarani wavunjwe mikono Kisha familia zao zigharamike huku familia za viongozi CDM wakipiga zao Heineken,huku wakila Bata ughaibuni.

WaTZ wa Sasa si wajinga kiasi Cha kujua Chama ni nn na Sacco's ni nn.

Tuacheni unafiki tusonge mbele Kama nchi,CDM mrudi kutubu.
Mnamakandokando mengi Sana.
 
Wananchi amna wasichoelewa wapo makini na ccm kuliko kitu chochote,wanajua kabisa ccm ni bomu halifai kuwekwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…