Wananchi tuwe makini na CHADEMA

Wananchi tuwe makini na CHADEMA

SASA BASI..mkienda kwenye msafara wa Lissu kuweni na njugu..an eye for an eye
 
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
Nchi unapaswa kuwa makini na ccm ndio wanaovunja amani yetu, angalia uhuni wa dc wa Hai Kwa Lissu.
 
Mleta mada una matatizo jipime. Hauko sawa. Umelipwa bei gani. ?
 
Chadema kwa kweli mmekua Kama gari lililokosa breki mlimani.

Leo hii nyinyi ndo watetezi wa MAFISADI na kupinga maendeleo ya nchi hii ili tu muwadanganye wananchi wawachague mpate kuendelea kula keki ya nchi hii!
 
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
Hovyoooooo.
 
Hii inaitwa mzazi kauza mgombe then kapeleka ngombe shule.
 
Ukisikia akili za kulengea tundu la choo basi ndio hizi!Hivi lumumba hamuelewi tu kuwa hizo propaganda zenu mfu zimeshapuuzwa?Watanzania wa leo sio wa miaka ile!
Tatizo la Lumumba wanatuona watanzania mandezi sana. Uzuri watanzania wa leo si wa Jana wala juzi. Wameamka sana kiakili
 
Na kweli kabisa tumeamka Sana maana si kwa kuaminishwa kule mtu Fisadi papa miaka zaid ya 10 afu tubadilishiwe gia angani.
Watz wa juz,Jana si wa Leo maana si kwa ajenda za nchi Haina ndege Kisha zinunuliwe na tubadilishe ajenda kua ni ndege hazituletei kula.

WaTZ sisi so wake wa kuaminishwa kua tunataka democracy Kisha mwenyekiti wa chama adumu zaidi ya vipindi 3-4 huku akimfyekelea mbali kila aliyetaka hicho kiti.
WaTZ wa Sasa si wale wakihoji matumizi ya ruzuku basi wanafukuzwa ndani ya chama huku wakiangalia ruzuku zikitafunwa.
WaTZ wasasa so wale wa Jana wakuona gari ya chama ikiandikwa kadi ya umiliki jina la mwanachama.
WaTZ wa Sasa si wale wa Jana wa kukaa na Dr.slaa kupambania ufisadi Kisha tunayemtaja Fisadi aje apewe nafasi ya kugombea huku Dr.slaa akiwekwa pembeni kisa tu Hana fedha ya kampeni.

WaTZ wa Sasa si wa Jana wa kuimba mabadiliko na kuzungusha mikono ya mabadiliko.
WaTz wa Sasa si wakuangia barabarani wavunjwe mikono Kisha familia zao zigharamike huku familia za viongozi CDM wakipiga zao Heineken,huku wakila Bata ughaibuni.

WaTZ wa Sasa si wajinga kiasi Cha kujua Chama ni nn na Sacco's ni nn.

Tuacheni unafiki tusonge mbele Kama nchi,CDM mrudi kutubu.
Mnamakandokando mengi Sana.
 
Wananchi amna wasichoelewa wapo makini na ccm kuliko kitu chochote,wanajua kabisa ccm ni bomu halifai kuwekwa ndani.
 
Back
Top Bottom