projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
tumekuwa tunasikia mara kwa mara kuusu utumbuaji wa majipu katika wizara mbalimbali za kiselikari hapa nchini, lakini katika hayo mbona hatuoni hatua zozote zinazo chukuliwa za kisheria dhidii ya hao mafisadi wanao hujumu uchumi pamoja na orotha ya majina ya hao wezi.
sisi kama wananchi tunakuwa hatuelewi pale tunapo sikia selikari inawasimamisha kazi wafanyakazi wezi lakini hawachukuliwi hatua yeyote ya kisheria pamoja na kuziludisha izo pesa zilizo ibwa au kufirisiwa kabisa.
pia hatupati orotha kamili ya majina hayo ya wezi/mafisadi wanaohujumu uchumi wa nchi yetu tanzania
kama sheria ya kuhukumu wezi ni ileile kwanini inabagua watu wa kuwaukumu!! maana hata ingekuwa mimi, nikifisadi billioni 10. na nikafukuzwa kazi yaani nikatumbuliwa jipu uku ninapesa ya ufisadi sina haja ya kuajiliwa tena maana pesa ipo inanilinda na nizaidi ya mshahara wa selikari.
tunaishauri selikari, hayo majipu yanayotumbuliwa tunataka tuyajue ni majipu ya aina gani! maana dawa ya jipu sio tuu kutumbuliwa bali nikulitafutia tiba mbadala ili lisijitokeze sehemu nyingine na nivizuri pia sheria ichukuwe nafasi yake dhidi ya hao wezi! sijui kama kunatofauti kisheria kati ya mwizi wa kuku na mwizi wa pesa selikarini! hao wote wafungwe na pesa ziludishwe.isije kuwa ni changalamacho kimtindomtindo maana kilakitu kinaishia njiani ni vema kutafakari mwanzoni huku kabla hatujafika mwisho! wale wafanya biashara je ni wote walilipa yale malimbikizo ya kodi zilizo baki nyuma? nini mwisho wa yale makontena elfu elfu pale bandalini?hao walio simamishwa kazi wamechukuliwa hatua gani za kisheria? haya ndio maswali tunayo jiuliza maana kila kiongozi mwanzoni huonekana kama mtendaji!
nivizuri kutumbua majipu lakini tuone na mwisho wa hayo majipu yanakuwaje kama kweli yamepona au yanaota tena!