Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
- Tarehe 30 Mei 2014, siku ya Ijumaa, wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo Waziri Kivuli wa wizara hiyo alikuwa John Mnyika, walisusa Bunge na kutoka nje baada ya kutokuwa na hoja za kupambana na Prof. Muhongo.
- Leo tatehe 2 Juni 2017, siku ile ile ya Ijumaa, wabunge wale wale wa Upinzani kwenye Mjadala ule ule wa Bajeti ya Wizara ile ile ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Kivuli yule yule John Mnyika, wanasusia tena Bunge na Kutoka nje safari hii Wizara hiyo ikishikiliwa kwa muda na Charles Mwijage.
- Wizara ilipokuwa chini ya Profesa, CHADEMA waliweka mpira kwapani. Sasa Prof hayupo, wanaweka mpira kwapani. Hapo ndipo utakapojua kwa nini siku zote KIVULI kina rangi NYEUSI hata kama ni cha Mzungu.
- 2020 sifanyi Makosa. Nitamchagua tena Rais Magufuli, Mbunge wa CCM na Diwani wa CCM ambao wanatuwakilisha vema kwenye vikao.