Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Ni kweli usemayo hata mm nakubali Mbowe kachemka. Ila huko cdm kama hukubaliani na hilo unaweza kuhama chama au kuanzisha cha kwako kama Zito. Je kwenye nchi? Kweli unaweza fananisha katiba ya nchi na ya cdm? You can't be serious.
Nakwambia kuna wenda wazimu huku mkuu.
Kazi ipo
 
Kuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!

natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda

time will tell
Tutaomba wapinga dhuluma wa kibiti, kuipinga hiyo dhulma
 
Wanaosema Kipara aongezewe muda wote ni wapumbavu n wajinga teena mashoga kabisa tena mwambie Kipara Akatawale kwao ushenzini chato
 
Hata Kikwete tulisema haya haya ....tuna mengi ya kujadili Ndugu zangu ....tuachane na vitu ambavyo haviwezekani ....Tanzania sio Rwanda
 
Naona mna hamu ya kuwaona waasi katika nchi hii..! Kawaulize wakongo wanafanyajwe na KAMWENANSHAKU..
 
Majaliwa Kasim ndiyo mridhi wa JPM hutaki basi.....

Kabla ya uchanguzi 2015 kulikuwa na maneno kama haya kuwa Kikwete anataka kuogeza mda hadi 2018....
 
Majaliwa Kasim ndiyo mridhi wa JPM hutaki basi.....

Kabla ya uchanguzi 2015 kulikuwa na maneno kama haya kuwa Kikwete anataka kuogeza mda hadi 2018....

= mrithi

Tanzania hakuna ufalme wa kurithishana. Kumbuka hilo.
 
Mna hofu tu. Hilo haliwezi kutokea.

Rais mwenyewe akimaliza miaka kumi tu taabani.
 
na ndio maana hatuendelei mitanzania inakera hadi unawish kuitapika! mara utasikia mara yameandamana mara iringa! yaan natamani itumbukie mtoni tu ituache watu wenye weledi tuendelee kusurvive

Ati wana nchi wameandamana Iringa!Bora wangesema wafanyakazi wa Serikali na Taasisi zake wameandamana,sijaona wana nchi maana kama biashara na mambo mengine walikuwa yana endelea.
 
Ati wana nchi wameandamana Iringa!Bora wangesema wafanyakazi wa Serikali na Taasisi zake wameandamana,sijaona wana nchi maana kama biashara na mambo mengine walikuwa yana endelea.



nahaya mavyombo ya habari ushuzi mtupu! maisha yamebana nani aanzd kuandamana kupongeza mtu pyee
 
Back
Top Bottom