Wananchi hawa hawana tumaini wala furaha kabisa kuhusu uhuru wao na nchi zao

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
1. Palestina
2. Zanzibar
3. Mashariki mwa DRC
4. Burundi
5. Jimbo la Kashmiri.

Sababu kubwa ni kuwa maeneo yao yametawaliwa kimabavu na wenye uwezo kuliko wao. Wamepambana kupata uhuru wa mezani lakini hakuna mafanikio.

Hizo ni baadhi, unaweza kuongeza nyingine kama ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa.
 
Zanzibar inapokuja suala la watu wake kufaidi mashule, vyuo, umeme, bajeti, ajira na uongozi kutoka Bara basi wanang'ang'ania sana muungano. Linapokuja suala la kujiunga na Jumuiya ya Kiislamu, muungano unakuwa mchungu.
 
W

hawana furaha kwa mambo yote
 
Back
Top Bottom