Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Mkuu! naapa kwa jina la mungu wangu. ilibaki kidogo tu niminye kitufe cha Log out halafu nijiregist kwa ID mpya .Halafu ningeporosha tusi kubwa la nguoni na tena...............! bahati nimekuelewa
Hata mtoto wa mkulima ni muislam?Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.
Ni aibu wanafunzi wanendelea kukaa chini bila madawati, hakuna waalimu lakini hawa CCM wanaendelea kuomba ridhaa ya wananchi kutaka kuendelea kutwawala.
Hatuna maji wala umeme wa uhakika, ni aibu Rwanda wametuzidi sana, CCM hawa hawana uongozi wa kitaifa Baba Mwanaasha yeye ni kunywa kahawa na kuendeleza waislam wenzake hata wasio na uwezo Mfano yule Nundu, Mponda, Mkulo na wenginewe si watu wa kudeliver hata kidogo.
Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CCM ni chama dume na maisha bora kwa kila Mtanganyika lol! baba Mwanaasha hebu tupe break.
Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu, lakini wao CCM wamebaki kusema ooohhh tunajitahidi na tunasonga mbele My foot.
Ningewashauri hawa wa chama cha Magamba na mafisadi watuachie nchi yetu tusonge mbele, sera hawana zaidi ya kuapanda mbegu ya chuki na ujinga wa kimapokeo, sasa hivi ni mikakati na NEC waibe kura Arumeru. Sisi wananchi hatutaki chumvi, kofia, kahanga, Tshirt wali na maharagwe siku za uchaguzi na rushwa
CCM is dead party with insane chairman, hatuwataki tena nchini kwetu na nembo yenu ya Kisu na ummma (jembe na Nyundo)
Mwanamtama - Kiluvya
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.

Hata mtoto wa mkulima ni muislam?
Sasa hapa wewe unaichukia ccm au unauchukia uislam?
Acha upuuzi wa ubaguzi wa kidini na udini.
So ulitaka baraza lote la mawaziri liwe na wakiristo tupu?
Mbona ktk baraza la mawaziri kuna waislam 32%tuu?
Acha ujinga wako,kama uwezi kuandaa thread ya maana nenda kajipange upya mtoto!
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa. Ni miaka hamsini sasa taifa hili halina uelekeo wala dira, Mgogoro mdogo na madaktari tumeshindwa utatua kwa njia yakinifu.
Ni aibu wanafunzi wanendelea kukaa chini bila madawati, hakuna waalimu lakini hawa CCM wanaendelea kuomba ridhaa ya wananchi kutaka kuendelea kutwawala.
Hatuna maji wala umeme wa uhakika, ni aibu Rwanda wametuzidi sana, CCM hawa hawana uongozi wa kitaifa Baba Mwanaasha yeye ni kunywa kahawa na kuendeleza waislam wenzake hata wasio na uwezo Mfano yule Nundu, Mponda, Mkulo na wenginewe si watu wa kudeliver hata kidogo.
Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CCM ni chama dume na maisha bora kwa kila Mtanganyika lol! baba Mwanaasha hebu tupe break.
Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu, lakini wao CCM wamebaki kusema ooohhh tunajitahidi na tunasonga mbele My foot.
Ningewashauri hawa wa chama cha Magamba na mafisadi watuachie nchi yetu tusonge mbele, sera hawana zaidi ya kuapanda mbegu ya chuki na ujinga wa kimapokeo, sasa hivi ni mikakati na NEC waibe kura Arumeru. Sisi wananchi hatutaki chumvi, kofia, kahanga, Tshirt wali na maharagwe siku za uchaguzi na rushwa
CCM is dead party with insane chairman, hatuwataki tena nchini kwetu na nembo yenu ya Kisu na ummma (jembe na Nyundo)
Mwanamtama - Kiluvya
Wananchi mko wangapi?

Mkuu soma vizuri post ya Sangarara, bila shaka hujamuelewa vizuri mwandishi amelenga nini!!!!! Tuliza akili kwanza tafakali upate jibu!!!!